343. NIYAKALE NAYO NG’HINDA,

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile ku ng’hinda. Ing’hinda yiniyo igab’izaga na kalilile kayo, ulu yukumiwa na munhu. Mumo igakuluhalila idugalucha akalilile kayo kenako. Ukwene huguhaya giki, nulu igakuluhala igwitanwa ng’hinda duhu. Hunagwene abhanhu bhagab’awilaga abhichab’o abho bhagajilekanijiga ing’hinda jabho ijakale giki, ‘niyakale nayo ng’hinda.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ukula ub’iza nhamhala, nulu ngikulu, umuchalo. Uyo okula ng’unuyo alitanwa munhu duhu mumo agakulila. Yigelelilwe nabho bhalang’hanwe chiza, abhanhu bhenabho, kunguno bhali sawa na bhichabho abho bhatali bhadoo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘niyakale nayo ng’hinda.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kub’alanghana chiza bhatale bhabho abho bhalikihamo na wabyaji bhabho, mumo bhagakulila, kunguno ‘niyakale nayo ng’hinda.’

2Wakorintho 4:16.

KISWAHILI: NA YAZAMANI NAYO NJUGA

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye njuga. Njuga ni kengele ambayo hutoa mlima wake ikiguswa au kutikiswa. Hivyo, njuga hiyo huwa na mlio wake wa pekee. Hata iwe kuukuu kiasi gani, itaitwa njuga tu, kwa sababu hali hiyo haukani ule unjuga wake. Ndiyo maana watu huwaambia wale wazitelekezao njuga zao zilizo za zamani kwamba, ‘na yazamani nayo njuga.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu aliyezeeka katika jamii fulani. Mtu huyo huendelea kuitwa mtu hata kama amezeeka namna gani. Yafaa watu waliona nguvu hasa vijana, waendelee kuwantunza mzee wao huo, kwa sababu wao ni watu waliosawa na wao wenyewe. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘na yazamani nayo njuga.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwatunza vizuri wazee wao katika jamii, wakiwemo wazazi, hata kama wamezeeka kiasi gani, kwa sababu, ‘na yazamani nayo njuga.

2Wakorintho 4:16.

 

bell

taking care of elders

 

ENGLISH: AN OLD ANKLE BELL IS ALSO AN ANKLE BELL.

The source of the proverb comes from an iron ankle bell. Such a bell gives a certain musical sound when it is shaken. It always has a unique sound regardless of whether it is old or new. This is why people tell others that ‘an old ankle bell is also an ankle bell’ to mean that they don’t have to ignore the old ones because they have the same effect as the new ones.

This proverb is likened to an old man in the society. Old men continue to be counted as human beings regardless of their age. Youngsters need to take care of the old ones and consider them as human beings that can have positive effects in the society. This is why people say, ‘an old ankle bell is also an ankle bell.’

The proverb teaches youngsters to take care of old people because, apart from being fellow human beings, they have positive impacts to the society.

2 Corinthians 4:16.

One comment

  1. Msemo huu una maana kubwa sana katika tafakari yetu ya maisha ya kila siku, kwa msemo huu tunajengewa umakini mkubwa wa kuwatunza wazee katika jamii zetu tukimbuka kuwa nasi ipo siku tutazeeka kama wao. Mungu mwema atupe moyo wa kuwapenda na kuwatunza wazee wetu, tukikumbuka kuwa nao pia waliwahi kuwa vijana kama sisi.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.