333. GILAGA GITUMO WAGILILA HA LUB’ELE.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhuleki bho ng’wana gong’ha ha lub’ele lo ng’wa nina. Ung’wana ulu ubyalwa agong’haga lub’ele halinina mpaka okula wikoma gulya. Ulu ukula ung’wana ng’wunuyo agabishiyagwa ogila ugong’ha. Ulu ubishiwa agagilaga ugong’ha na adalashokela. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘gilaga gitumo wagilila ha lub’ele.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo witaga mihayo ya bhub’i, uyo agawilaga giki oye ugwiita imihayo yiniyo gitumo oyela gong’ha ha lub’ele lo ng’wa nina. Abhanhu abho umunhu ng’wunuyo ob’itilaga imihayo yiniyo, hab’o hagang’wilaga umhub’i ng’wunuyo giki, ‘gilaga gitumo wagilila ha lub’ele.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya goya gwita mihayo yabhub’i, na gub’awila abhahub’i bhoye ugwiita imihayo imib’i yiniyo, gitumo bhagilila ha lub’ele lo b’aninabho.’

Wakolosai 3:5.

KISWAHILI: ACHA KAMA ULIVYOACHA ZIWA

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye kuacha kunyonya kwa mtoto kwenye ziwa la mama yake. Mtoto akizaliwa hunyonya maziwa ya mama yake, mpaka anakua kiasi cha kutosha kula chakula. Akikua mtoto huyo huachishwa kunyonya ziwa na mama yake. Akiachishwa hivyo, mtoto huyo hukoma kunyonya na hatarudia. Ndiyo maana watu huambiana kwamba, ‘acha kama ulivyoacha ziwa.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu aliyefanya kitu kibaya kwa wenzake, ambao humwambia akome kufanya hivyo, kama alivyo koma kunyonya ziwa kwa mama yake. Watu hao aliowatendea kitendo hicho, yule mkosefu, huumia sana mpaka kufikia hatua ya kumwambia mtu huyo kwamba, ‘acha kama ulivyoacha ziwa.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha kutenda matendo mauvu katika jamii, kwa sababu matendo hayo huwaumiza sana wenzao. Ndiyo maana wao humwambia, mtu huyo aache maovu hayo kama alivyoacha kunyonya ziwa kwa mama yake.

Wakolosai 3:5.

woman breatfeeding

 

ENGLISH: STOP AS YOU STOPPED FEEDING AT YOUR MOTHER’S BREAST

This proverb has its origin in breastfeeding. It is obvious that when a baby is born, it begins by feeding at its mother’s breasts until when it is old enough to eat other food stuff.

At the time the baby begins eating other food stuff the mother can stop him/her from breastfeeding.

This proverb can be compared to a person who does something wrong to his/her friends then warned against it. The warning can be associated with stopping such a wrong behaviour in the same way he/she stopped sucking from his/her mother’s breasts.’

This proverb teaches people to stop doing bad things in the society because they hurt others. That is why they tell wrong doers to stop their evil deeds in order not to harm the society.

Colossians 3: 5.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.