334. GUKO NGILI ISE O NG’WAMBI.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kub’itoji abho b’iyambilijaga uguitumama imilimo yabho.  Abhanhu bhenabho bhali nkima na ngosha abho bhalib’itolile. B’iyambilijaga gufuga, nulu gusegegesa mabhele. Unkima onkangililaga ungosha, bho gujishindika ijisabho ijojalijitungilile mlusunda, ulugoye lutungwa kumahaba, nang’hwe ungosha onkangililaga unkima. Bhuli ng’wene uluonkangilila ung’wiye ijisabho jinijo, oyombaga giki, ‘guko ngili ise o Ng’wambi.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhitoji abho bhali na bhumo, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhagaitumamaga imilimo yabho bhogwiyambilija chiza. Bhagabhalangaga na bhazenganwa b’abho akajile ka gwikala na bhumo bhunubho, umuwikaji bhobho wa witoji.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu abho witolile higulya ya gub’iza na b’umo, bho gwiyambilija utuitumama imilimo yabho, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 2:18.

Tobithi 8:4-8.

KISWAHILI: HUKO NGILI BABA WA NG’WAMBI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia wanandoa ambao husaidiana katika kufanya kazi zao. Watu hao ni mwanamke na mwanaume waliofunga ndoa. Wao husaidiana kuchekecha maziwa. Mwanamke humsukumia mwanaume kibuyu kwenye maziwa hayo, ambacho huzungushiwa kamba iliyohufungwa kwenye mlingoti juu, ili kiweze kuning’inia, naye mwanaume hukisukuma kibuyu hicho kuelekea kwa mwanamke. Kila mmoja amsukumiapo mwenzake husema hivi, ‘huko ngili baba wa Ng’wambi.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa wanandoa ambao wana umoja maishani mwao. Watu hao hufanya kazi zao kwa kusaidiana vizuri. Huwafundisha pia majirani zao namna ya kuishi katika umoja huo, katika maisha yao.

Methali hiyo hufundisha watu wa ndoa juu ya kuwa na umoja wa kuwawezesha kusaidiana katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku, maishani mwao.

Mwanzo 2:18.

Tobithi 8:4-8.

africa uganda

THERE IS NGILI; THE FATHER OF NG’WAMBI.

This saying is based on couples that help each other in their daily activities. It pictures a hanging calabash with little milk in it being tied to one of the roof poles. The wife and husband push it (the calabash) to each other in an attempt to shake the milk. Each of them pushes it by saying, ‘there is Ngili, the father of Ng’wambi.’

This saying can be comparable to married couples who live in unity throughout their lives. They work together by helping each other in viarious activities. They also teach their neighbours on how to live in peace, and unity in their lives. That is why they say to each other, ‘there is Ngili; the father of Ng’wambi.’

The saying teaches married couples how to maintain their unity by living in peace so as to fulfill their tasks of taking care of their families.

Genesis 2:18.

Tobithi 8: 4-8.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.