332. NG’HULU JAWIZA, JIGALAJA MBITI HA NYANGO

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kuli nigini na nina. Unigini ng’wunuyo olatogilwe kulila ahikanza lya b’ujiku. Lushugu lumo, unina agankanga unigini giki, ‘ululamane ulila naguguponya hanze uliwe mbili.’ Ahikanza linilo aliyomba, imbiti nayo yalihoyi aha nyango. Naigwa imihayo yiniyo. Kuyiniyo lulu, imbiti yiniyo yaduka yalindilaga giki iguponegejiwa akana ize ikalye, nose ub’ujiku wela. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki ng’hulu jawiza, jigalaja mbiti hanyango.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalindilaga gupandika sabho, nulu jiliwa, bho gwikuga, giki munhu agujigwisha, bho nduhu ugutumama  nimo gose gose. Umunhu ng’wunuyo adulile nulu gucha na nzala, guti ni mbiti yiniyo iyo igelewa b’ujiku, kunguno bhuli ng’wene adatogilwe uguponya sabho jakwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’hulu jawiza jigalaga mbiti hanyango.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gutumama milimo ya gubhapandikila sabho, bho nduhu gulindila ja guponyiwa na bhangi, kugiki abhoyi bhajikuge.

KISWAHILI: HABARI NZURI ILIMLAZA FISI MLANGONI

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwa mtoto na mama yake. Mtoto huo alipenda kulia wakati wa usiku. Siku moja mama yake alimtisha mtoto huyo, kwa kumwambia hivi, ‘ukiwa unalia nitakutupa nje uliwe na fisi.’ Wakati mama huyo akiongea hivyo, fisi naye alikuwepo mlangoni. Akayasikia maneno hayo. Kwa hiyo, fisi huyo alibaki amesubiri kwamba atatupiwa mtoto aje amle, mwishowe usiku ukapambazuka. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘habari nzuri ilimlaza fisi mlangoni.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule asubiriye kupata mali au chakula kwa kuokota, kwamba mmoja atadondosha, bila kufanya kazi yoyote. Mtu huyo huweza hata kufa kwa njaa, kama yule fisi aliyepambazukiwa usiku, kwa sababu kila mtu hapendi kutupa mali zake, au kupoteza. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘habari nzuri ilimlaza fisi mlangoni.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kufanya kazi mbalimbali ziwezazo kuwapatia mahitaji yao yakiwemo yale ya chakula, badala ya kusubiri kuokota au wengine wapoteze, ili wao waweze kuokota.

hyena

mother

ENGLISH: GOOD NEWS MADE A HYENA SLEEP AT THE DOOR

The source of this proverb is a child who used to cry at night. One day the mother of the child threatened to hrow out the child to be eaten by hyena. The hyena was around the door when the mother was threatening the child. Hearing the mother’s threat, the hyena hid itself near the door waiting for the meat. It waited the whole night with no success. That is why people say, ‘good news made a hyena sleep at the door.’

The proverb is likened to lazy people, who dream to have possessions or abundant food without struggling for them. They just wait with hope that someone will drop possessions for them to pick. Such people are likely to starve to death.

The proverb teaches people to work hard so as to be self sufficient in different sorts of life, including food and other necessities.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.