331. LYALAGILWE MPELANU MOKONO.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kukalagilwe ka ng’waka na mpelanu. Ung’waka gunuyo gugab’izaga go nduhu mbula. Ulu mbula gukija utula ng’waka ngima, abhanhu bhagiganikaga giki, Uwelelo uyo ugulaga ung’waka gunuyo oliapelanile. Gashinaga imyaka igab’izaga guti giki igalagagwa na Welelo nayiza. Hunagwene abhanhu ulu ng’waka gub’iza gub’i, uyo mbula gukija gutula, bhagayombaga giki, ‘lyalagilwe mpelanu mokono.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adebhile gutumila nzila ningi ija gwipandikila jiliwa. Umunhu ng’wunuyo agikalaga na jiliwa, nulu ng’waka guga’biza gu’bi, ugo nduhu mbula gutula. Uweyi agalangaga na bhiye bhadizusendamila mbula duhu umilimo yab’o, bho gubhawila giki, ‘lyalagilwe mpelanu mokono.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gumana milimo mingi ya gubhapandikila ijiliwa, na guitumama kugiki, bhadizucha na nzala, ahikanza lya nduhu mbula.

Mwanzo 41:30-31.

Mwanzo 42:5.

Luka 4:25-26.

KISWAHILI: LIMEAGWA NA MWENYE HASIRA MWAKA HUU

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye kuagwa kwa mwaka na mwenye hasira. Mwaka huo huwa hauna mvua. Mvua ikiacha kunyesha mwaka mzima, yule aliyeuaga hufikiriwa kama ni mwenye hasira. Kumbe miaka huwa na inaagwa na yule aiagizaye kuja. Ndiyo maana mwaka ukiwa mbaya, watu husema kwamba, ‘umeagwa na mwenye hasira mwaka huu.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu afahamuye kutumia njia mbalimbali za kujipatia chakula. Mtu huyo huwa na chakula cha kutosha, hata kama mwaka ukiwa mbaya ambao hauna mvua. Yeye hufundisha hata wenzake juu ya kutokutegemea mvua pekee, kwa kuwaambia kwamba, ‘umeagwa na mwenye hasira mwaka huu.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuelewa kazi mbalimbali ziwezazo kuwapatia mahitaji yao, yakiwemo yale ya chakula, na kuzitekeleza ili wasife kwa njaa kwa sababu ya kutegemea mvua pekee, kwenye kazi zao.

Mwanzo 41:30-31.

Mwanzo 42:5.

Luka 4:25-26.

seller banana

ENGLISH: THIS YEAR HAS BEEN ORDERED BY THE ANGRY ONE

This saying comes from the unfortunate year that is believed to be ordered by the angry one. In such a year the rain does not rain throughout the year. When it happens so, people will always say, it is a bad year and therefore labeled as being ordered by the angry one.

The saying can be compared to a person who knows how to cultivate a variety of foods. Such a person is likely to have enough food to eat, even if the year is bad; with no rain. Such a farmer can even teach his/her colleagues about not relying on rain alone by telling them that ‘this year has been ordered by the angry one,’ as a way to encourage others to look for other alternatives of getting food rather than waiting for rain.

Genesis 41: 30-31.

Genesis 42: 5.

Luke 4: 25-26.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.