330. UDALYAGE B’ULA B’UGWIGONZOLA UWINGA

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhuli bho b’ula bho mitugo. Ikale  yalihoyi migilo ya b’anakale ya kuleka gulya b’ula nulu b’utumbo, abho b’atali bhadoo. Ub’ula bhunub’o b’alyaga b’agikulu iki b’adinamino. Ab’ado yaliyaya ugulya kunguno b’adudila gulwa. Hunagwene abhanakale bhab’awilaga abhadoo giki, ‘udalyage b’ula b’ugwigonzola uwinga.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhalina malange gagub’alanga abhanhu bhab’o kugiki bhab’one gub’akuja ab’atale b’ab’o. Abhanhu bhenabho bhagab’utumilaga ub’umani bhob’o bho gubhalekela nhungwa niza ija gudula gwikala na bhanhu chiza. Hunagwene bhagab’awilaga abhanhu bhabho giki, udalyage b’ula b’ugwigonzola uwinga.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gub’alanga abhichab’o gwikala nikujo ukubhanhu bhab’o. Akikalile kenako kagubhambilija ijinakubhalanghana chiza abhatale bhabho.

KISWAHILI: USILE UTUMBO HARUSI ITASUASUA

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye ulaji wa utumbo wa mifugo. Zamani ilikuwepo miiko ya watu wa zamani, ya vijana kutokula utumbo. Utumbo huo uliliwa na vikongwe kwa vile hawana meno. Vijana hawakuruhusiwa kula kwa ya kuepuka kuolea mbali. Waliambiwa kwamba, wakila wataolea mbali. Ndiyo maana watu wa zamani waliwaambia vijana kwamba, ‘usile utumbo harusi itasuasua.’

Msemo huo hufananishwa kwa watu ambao wana malezi mema ya kufundisha watu wao namna ya kuwaheshimu wakubwa wao. Watu hao hutumia uelewa wao vizuri katika kuwaachia watoto wao, malezi ya kuwa na tabia njema za kuwawezesha kuishi vizuri na watu. Ndiyo maana watu wao huwaambia hivi, ‘usile utumbo harusi itasuasua.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwatunza vizuri watu wao, kwa kuishi nao kwa heshima. Maisha hayo yatawasaidia watu wao katika kuwatunza vizuri wazee wao.

uganda

 

ENGLISH: NEVER EAT OFFALS/ INTESTINE, YOUR MARRIAGE WILL HAVE PROBLEMS

The source of this saying is eating animal offals/intestines. In the past there were taboos forbidding young people from eating offals/intestines. The offals/intestines were eaten by the elderly people who are toothless. The people warned young people against eating offals/intestines by saying, “never eat offals/intestines, your marriage will have problems.”

The saying is similar to people who have good morals for teachimg their young people to respect their elders. These people use their knowledge to teach their people good morals so as to enable them to get along well with other people. That is why they tell their people that, “never eat offals/intestines, your marriage will have problems.”

The saying teaches people how to respect others. This will help children to take good care of older people

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.