329. WINGA B’UDALIAGWA KAB’ILI

Imbuki ya lusumo lunulo yinginile kubhuli bho winga. Ulu winga wikwela mumho na b’amalaga b’adalashokela gwikwela hangi. Ulushugu ulo b’ikwelaga b’agiigwa b’ulya bhumala. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, winga b’udaligwa kab’ili.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho b’adajidililaga indoa jacho. Abhanhu bhenabho bhagajilekanijiga ikaya jabho guti giki, bhalashokela  hangi ugwikwela. Abhanhu bhenabho bhagakomelejiyagwa gujidilila ikaya jabho, bhaleke ugujilekanija, kunguno bhamala gutola. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘winga b’udaliagwa kab’ili.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gujilanghana chiza ikaya jabho bho gujilisha jiliwa, kugiki abhanhu bhabho bhadule, gwikala na b’uyegi.

Mathayo 28:16-20.

Waefeso 4:5.

KISWAHILI: HARUSI HAILIWI MARA MBILI

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye ulaji wa harusi. Harusi akisherekewa kwa wahusika kuelewana, ndiyo wamemaliza, hawatarudia tena. Siku ya kuelewana huwa wanakula chakula na kumaliza. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘harusi hailiwi mara mbili.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wale ambao huzitelekeza ndoa zao kwa kutokuzijali familia hizo. Watu hao huwaacha wanafamilia bila msaada, kama kwamba, watarudia kusherekea ndoa tena.

Wale wanaozitunza ndoa zao huwahimiza watu hao wazijali familia zao kwa kuzitunza vizuri, kwa sababu, hawatarudia kufunga ndoa nyingine wakati hii ya sasa bado ipo. Ndiyo maana huwaambia watu hao kwamba, ‘harusi hailiwi mara mbili.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuzilinda kwa kuzitunza vizuri familia zao, ili watu wao waendelee kupata mahitaji yao vizuri, maishani mwao.

Mathayo 28:16-20.

Waefeso 4:5.

couples

african-food

 

ENGLISH: A WEDDING IS NEVERCELEBRATED TWICE

The source of this saying is wedding celebration. When the wedding is celebrated, it is done, it cannot be repeated. On the day of negotiating the dowry, they conclude everything and celebrate. That is why people say, “a wedding is nevercelebrated twice.”

The saying is compared to people who do not respect their marriage. Such people abandon their families as if they will celebrate the marriage again.

Such people are urged to respect their marriage and take care of their families because they cannot celebrate another wedding as the first marriage still binds them. That is why people tell these people, “a wedding is never celebrated twice.”

The proverb teaches people about respecting their marriage and being responsible for their families so that family members can live happily.

Matthew 28: 16-20.

Ephesians 4: 5.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.