254. DUDIME HASI.

Imbuki ya kahayile kenako ililole b’udimi bho hasi. Ubhudimi bhunubho b’ugatumilaga makono. Umunhu akomile gudima hasi ulu alihaya gupandika nguzu ja gudula gwimila chiza uyo oliwigashije.

Hangi, ulubhanhu bhalilya jiliwa bhagab’izaga guti bhalidima hasi ulu jiliwa jitulile hasi. Ulu bhalya, abhanhu bhenab’o bhagapandikaga nguzu jagufumila mujiliwa jinijo ijo bhajilyaga.

Ijiliwa ulu jubishiwa abhanhu bhagatumilaga masala agagwibhonecha kugiki bhadule gwigwa abhoyi na kubhuka kujujilya ijiliwa jinijo. Hunagwene ulu lyushika ilikanza ilya gujulya, abhanhu bhagiwilaga giki, ‘dudime hasi.’

Akahayile kenako kagalenganijiwagwa kubhanhu abho bhadeb’ile gutumila mihayo ya mbisila ijinagubhahugula abhichabho kugiki bhajigwe ing’hulu ijo jidulile gubhambilija ugwikala mhola na bichab’o umuwikaji bhobho.

Abhanhu bhenab’o bhagabhambilijaga bhichab’o bho gub’iza na masala gagupandika nguzu ya gutumamila milimo ya kujibheja chiza ikaya jabho. Hunagwene bhagabhawilaga abhichab’o giki, ‘dudime hasi.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu  gub’iza n’ikujo lya gujishisha ing’hulu ijagubhambilija abhanhu ijinagwikala na nguzu umuwikaji bhobho. Ilikujo linilo ligub’ambilija ugupandika amasala gagutumila mihayo iyoidulile kubhambilija abhanhu bhenabho ugwikala mhola na bhanasi b’ichab’o.

(Matendo ya Mitume 27:34-36).

KISWAHILI: TUSHIKE CHINI.

Chanzo cha msemo huu huangalia ushikaji wa chini. Ushikaji huo hutumia mikono ambayo humwezesha mtu mwenye mikono hiyo kushikilia chini wakati akitekeleza lengo lake. Mtu huyo aweza kushika chini wakati wa kusimama alipokuwa amekaa. Hiyo ni namna mojawapo ya kumpatia nguvu fulani, mtu huyo, itakiwayo kwake kumwezesha kusimama kwa haraka.

Watu hupata nguvu pia wakila chakula. Chakula hicho kikiiva, watu hao hutumia maneno ya mafumbo yahusishayo akili katika kuufikisha ujumbe wa kuwaalika kwenda kula ili wao wenyewe waweze kuelewana na kuamua kwenda kula. Ndiyo maana, watu hao huambiana kwamba, ‘tushike chini.’

Msemo huo hulinganishwa kwa watu wafahamuo kutumia hekima ya kuhusisha mafumbo katika kuwafikishia wenzao habari yenye ujumbe wa kuwapatia nguvu maishani mwao ili waweze kuishi kwa amani. Watu hao huwasaidia pia wenzao katika kuwa na akili ya kuufikisha ujumbe mwingine utakiwao kuwafikia wenzao. Ndiyo maana watu hao huwaalika wenzao kwa kusema, ‘tushike chini.’

Msemo huo hufundisha watu  kuwa na hekima ya kuufikisha ujumbe uwezao kuwapatia wenzao nguzu ya kuishi kwa amani maishani mwao. Hekima hiyo itawasaidia wengi katika kupata akili ya kutumia mafumbo yawezayo kuwasaidia watu wao katika kuishi kwa amani na wananchi wenzao.

(Matendo ya Mitume 27:34-36).

 

 

literature

adult-education

ENGLISH: LET US TOUCH DOWN ON THE GROUND.

The origin of this saying is an act of touching on the ground. Such action requires the concerned person to use arms that enable him/her to hold the ground. The person may hold the ground while trying to stand up. That is a way to give him/her support or energy that will enable him/her to get up quickly.

People usually gain energy from food that they eat. When the food is ready, these people use brainteasers to convey invitation message to others who can understand them to come and eat. The idea is to wisely exclude others who are not concerned. That’s why, these people tell each other, as a brainteaser and exclusion strategy, ‘Let us touch down on the ground.’

The saying is urges people to use their wisdom to convey information for empowering others in their lives so that they can live in peace. People who use wisdom also help their peers in having the ability to decode and convey other messages that they need to achieve their goals. That is why those people invite their peers by saying, ‘Let us touch down on the ground.’

The saying teaches people about being wise when delivering any message that will give other people opportunity to live in peace in their lives. Such wisdom will help many people in getting the mind enough to use mysteries that can help their people to live in peace with their fellow citizens.

(Acts 27: 34-36).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.