304. B´UGENI B´ULAGANE

Imbuki ya kahayile kenako ingilile kubhanhu abho bhalibhalagana giki bhagulumana hanhu. Aho loshiga ulushugu lunulo, uumo agakija uguja ukunuko. Bhahayibhona, ung´wiye uyo alioja koyi, agang´wizukija, ub´ulagane bhobho, bho gung´wila giki, ´b´ugeni b´ulagane.´

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhizukijaga abhiye, ugwiita iyo bhalibhizunilija guitumama. Umunhu ng´wunuyo agabhizaga wiyizukile iyo bhizunilija kuitumama na bhiye, iyo idulile gubhambilija abhanhu bhabho ijinagwenha matwajo mingi, umuwikji bhobho. Uweyi agabhalanjaga nabhiye uguwizuka uwizunilija bhobho, bhogubhawila giki, ´b´ugeni b´ulagane.´

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guwizuka na gub´utumamila uwizunilija bhobho, umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi ayo gadulile gujibheja chiza, ikaya jabho.

Wagatia 3:16.

Yohane 16:7-8.

KISWAHILI: AHADI YA UGENI

Chanzo cha msemo huo chaanzia kwa watu waliokubaliana kukutana sehemu fulani. Ilipofika siku hiyo, mwingine hakuenda kule walikokubaliana kwenda. Walipoonana, yule aliyeenda kule, alimkumbusha mwenzake kwa kumwambia hivi, ´ahadi ya ugeni.

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwakumbusha wenzake juu ya utekelezaji wa makubaliano yao. Mtu huyo huendelea kuyakumbuka makubaliano hayo waliyofanya na wenzake, maishani mwake. Yeye huwakumbusha pia wenzake juu ya utekelezaji wa makubaliano hayo kwa kuwaambia, ´ahadi ya ugeni.

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuukumbuka utekelezaji wa makubaliano yao, maishani mwao, kwa ajili ya kuleta maendeleo kwenye familia zao.

Wagatia 3:16.

Yohane 16:7-8.

african

 

ENGLISH: A PROMISE MADE IS A DEBT UNPAID

This saying comes from a story of two people who agreed to meet somewhere. On that day, the other did not show up where they had agreed to meet. When they saw each other on the following day, the one who went to the place they agreed to meet reminded his companion about their agreement saying, “a promise made is a debt unpaid.”

The saying is linked to someone who reminds his/her fellows about implementing what they agreed on. Such a person remembers the agreement they made in his/her life. He/she also reminds his/her companions about implementing the agreement by telling them, “a promise is a debt unpaid.”

The above saying teaches people to fulfil their promises in their lives.

Galatians 3:16.

John 16: 7-8.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.