303. BUDOSHI BHO LISO ILAGAJA INGOHE

Imbuki ya kahayile kenako ingilile ku liso na ngohe. Iliso linilo ligenhelejaga kubhiza na b´udoshi, kunguno ya kubhona ginhu lyukija ugujitoghwa. Aliyo lulu, ululyudishiwa ngohe lyuyulila jisoji. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, b´usoshi b´o liso ilagaja ngohe. ´

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina nhungwa ja b´udoshi umuwikaji bhokwe. Aliyo lulu umunhu ng´wunuyo, ulu usada, b´ushila ub´udoshi b´okwe. Hunagwene abhanhu bhagang´wilaga giki, alina ´b´udoshi bho liso ilagaja ngohe.´

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka gubhiza na nhungwa ja b´udoshi, kugiki bhadule gwikala chiza na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Zaburi 31:18.

Zaburi 101:5.

Yakobo 4:16-17.

KISWAHILI: MARINGO YA JICHO KUWA NA KOPE NYINGI

Chanzo cha msemo huo chaanzia kwenye jicho na kope. Jicho hilo husababisha kuwa na malingo kwas ababuu ya kuona kitu na kutopendezwa nacho. Lakini basi, likiingiliwa na kope, huwa linaanza kulia machozi. Ndiyo maana watu husema kwamba, ´maringo ya jicho´ kuwa na kope nyingi.´

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu mwenye tabia ya maringo maishani mwake. Lakini mtu huyo, akiugua, maringo yake huisha wakati huo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ´maringo ya jicho kuwa na kope nyingi.´

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya maringo, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.

Zaburi 31:18.

Zaburi 101:5.

Yakobo 4:16-17.

eye

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.