244. AHO ALIHO MUNHU OJIKA ITICHIZA UGUJIYOMBELA.

  1. AHO ALIHO MUNHU OJIKA, ITICHIZA UGUJIYOMBELA

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile munhu uyo ali na jika. Umunhu ng’wunuyo agab’izaga na wib’akizu, nulu wikib’ukwa butale, ulu wigwa mhayo guliyombwa gulolile jika jakwe.  Ulu wigwa chiniko, agub’iganikila kibhi abho bhaliguyomba umhayo gunuyo. Kunguno agamalaga ulubhango ulo gwendelea na mahoya genayo. Akomile nulu gwinga hoyi uja kungi uko bhanhu abho bhali na mahoya gawiza. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘aho aliho munhu ojika itichiza ugujiyombela.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhalib’itegeleja chiza umumahoya gabho. Abhanhu bhenabho bhagikalaga na bhichabho bho mholele, kunguno bhalina bhulalang’hanu bhoguikomanya chiza imihayo iya guyomba. B’adaihoyelaga imihayo iyo idulile golecha kajile kagubhasega abhanhu abho bhalina jika.  Abhanhu bhenabho bhadeb’ile igiki ‘aho aliho munhu ojika itichiza ugujiyombela.’

Ulusumo nululo lolanga bhanhu  gub’iza b’alalang’hanu ulu bhalihoya na munhu uyo alinajika. Ubhulalang’hanu bhunubho bhugubhenhela witegeleja bho gudula gukomanya chiza imihayo iyaguholela umumahoya gabho na bhanhu abho bhali na jika. Mukajile kenako, bhagudula gwikala bho mholele na bhichabho umuwikaji b’ob’o.

KISWAHILI: ALIPO MTU MWENYE DOSARI, SI VYEMA KUIZUNGUMZIA.

Chanzo cha methali hiyo chaangalia mtu mwenye dosari. Mtu huyo huwa na wasiwasi au hali ya kushituka akisikia neno likizungumzwa lihusulo dosari yake au kilema chake.  Akisikia hivyo hujisikia vibaya na kuwafikiria vibaya pia wale wanaozungumzia neno hilo.

Mtu huyo huweza hata kuondoka kwenye maeneo yale na kwenda sehemu nyingine kule ambako wanamaongezi mazuri, kwa sababu hukosa raha ya kuendelea kubaki pale. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘alipo mtu mwenye dosari si vyema kuizungumzia.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa watu waliona umakini mzuri katika maongezi yao. Watu hao huishi na wenzao kwa amani, kwa sababu wana busara ya kuchagua maneno ya kuongea wakiwa pamoja na wenzao wenye dosari au vilema. Huwa hawayaongei maneno yale yawezayo kuonesha hali ya kuwacheka wenye dosari au mapungufu fulani katika miili yao. Watu hao waelewa kuwa, aliko kwenye dasari si vyema kuizungumzia.’

Methali hiyo hufundisha watu  kuwa na busara ya kuchagua maneno ya kuongelea wawapo na watu wenye dosari. Busara hiyo, itawaletea umakini wa kuyaacha maneno yale yahusuyo dosari za watu walionao kwenye maongezi yao. Busara hiyo itawawezesha kujihadhali kugusia dosari hizo wakati wa mazungunzo yao, na hivyo kuwapa nafasi ya kuishi kwa amani na wenzao.

Mt. 18:6-7;

Lk 17:1-2.

 

disability-black

ENGLISH: WHERE THERE IS A PERSON WITH A DEFECT, IT IS NOT GOOD TO TALK ABOUT IT.

The origin of this proverb is a person with a defect such as a disability. Such a person becomes anxious or nervous when he/she hears people speaking about his or her defect. When that happens, he or she thinks negatively of those who speak about his or her defect.

The person may even move from that place to another one where there are good conversations, which are not interested on his or her defect. That is why people say, ‘Where there a person with a defect, it is not good to talk about it.’

The proverb is used comparatively to refer people who conduct good conversations. These people live with their neighbors in peace, because they know how to choose words to use with their defected counterparts. They do not use words that may denote perjoration against those people. Those people understand that, ‘Where there is a person with a defect, it is not good to talk about it.”

This proverb teaches people about the wisdom of choosing words to speak to people with defects. This prudence will make them more careful about omitting the words about the defects of people in their conversations. This prudence will allow them to be careful about touching such flaws during their their conversations, thus giving them the opportunity to live in harmony with their peers.

Mt. 18: 6-7.

Lk 17: 1-2.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.