237. TOB’OTOB’O YAB’UB’I HAMBOHAMBO GWIKULUMBULA.

Imbuki ya lusumo lunulo ingilile kubhulenganija bho bhanhu bhab’ili, uyo wigumhaga uchubhuka ulukulume, nuyo ochaga. Gashinaga lulu ilihambuhambu  uyo wigumhaga uchubhuka ulukulume kunguno ung’winuyo agulagulwa upila, aliyo lulu uyo ochaga adiko ugulagulwa mpaga ushoka hangi kuwelelo.

Ulusumo lunulo lugalenganijiagwa kubhanhu abho bhagiyangulaga gwita miito gawiza ukubhichabho, guti gutumila sabho jabho bhogubhambilija bhasadu na gubhasomisha bhana bhabho. Abhanhu bhenabho bhadeb’ile igiki amasabho mabhonwa, hangi macholwa, aliyo lulu ubhupanga bhulambu.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu  gubhiza na wiyanguji na bhulamuji bho wiza umuwikaji bhobho. Ubhulamuji nu wiyanguji bhunubho bhugubhambilija ugujitumamila chiza isabho jabho  bho gubhambilija abhichacho, abho bhali na makoye ijinagubhulanghana ubhupanga bhobho.

(2 Petro 2:14; Mathayo 5:27-30)

KISWAHILI: NI HERI KUUMIA KWA KUJIKWAA KULIKO KUSAGIKA.

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye ulinganishaji wa watu wawili, aliyejikwa akaumia kidole, na yule aliyefariki. Kumbe ni afadhali yule aliyeumia kidole kwa kujikwaa, kwa sababu huyo atatibiwa na kupona, lakini basi, yule aliyefariki hawezi kutibiwa mpaka akarudishwa duniani.

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu waamuao kutenda matendo mema ya kuwasaidia watu wenye shida kwa kutumia mali zao kwa lengo la kuwarudishia afya na kuwasomesha watoto wao. Watu hao wafahamu kwamba, mali hupatikana lakini uhai una gharama, hivyo ni vigumu kuupata.

Methali hiyo hufundisha watu  kuwa na maamuzi mema maishani mwao. Maamuzi hayo yatawasaidia katika kuzitumia vizuri mali zao kwa kuwasaidia wenzao walioko kwenye matatizo kiasi cha kutosha kuulinda uhai wao.

2 Petro 2:14;

Mathayo 5:27-30.

working woman

ENGLISH: IT IS BETTER TO HURT ONESELF BY STUMBLING THAN TO BE CRUSHED.

The origin of this proverb is a comparison of two people, one with an injured finger and the other one dead. It is better for the person injured by stumbling, because he or she will be healed, but the dead one will not be healed to the point of coming back to life on earth.

The proverb is used comparatively to refer to people who decide to do good deeds to help other people who are in need by using their resources to restore health and educate their children. People know that property can be found, but life is expensive and hard to find.

The proverb teaches people to make good decisions in their lives. These decisions will help them in managing their assets better by helping their less fortunate friends to save their lives.

2 Peter 2:14.

Matthew 5: 27-30.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.