Sukuma Proverbs

5. MUDAFULAGWA NYAGA BHULI?

Huguhaya giki, abhanhu abhatubhu bhadigutaga. Amasala gabho gagab’izaga galiganika higulwa ya shiliwa ukumanza gabho amingi.

Akahayile kenako kalilanga higulwa ya gub’iza na kajile kawiza mjiliwa na mukang’wele. Ili chiza uguleka kajile ka bhulaku bho jiliwa bhung’wi bho gub’itilija. Gugaleka amasala ga gaduta shiliwa duhu. Igelelilwe umunhu akutumile amasala gakwe mugwiyenhela maendeleyo ga mili na ga moyo, kukila mu bhu bulaku na bhung’wi bho gubhilitija.

Bharumi 14:17.

KISWAHILI:    PINDI TU, UNAPO HISI NJAA, KWA NINI UNA TAMANI KULA MAPEMA IWEZEKANAVYO? (KWA NINI HAMPULIZWI UPEPO?)

Msemo huo unaongelea juu ya watu wenye njaa kwa vile maisha ya watu huwa ni ya furaha wakiwa wameshiba. Ndiyo kusema kwamba, watu wakiwa wameshiba kila wakati huendelea kuwa na furaha hiyo kwao.

Hali ya watu kujisikia njaa kulinganishwa na upepo. Ndipo wakati kama huo husemwa na watu, maneno hayo ya upepo wa ndani ya tumbo la mtu umempuliza mhusika huyo. Kama watu wakijisikia njaa kwenye familia fulani, maana yake, familia hiyo imepulizwa na upepo. Huwa inakuwa vigumu kula na kushiba kwa watu kama hao kwa sababu ya watu hao kujijengea tabia ya kuwa na ulafi wa chakula.

Hivyo, watu walafi huwa hawashibi. Akili zao huwa zinafikiria juu ya chakula kwa muda uliomwingi maishani mwao.childeating

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na kiasi katika kula chakula na katika kinywaji. Ni vizuri kuacha tabia ya ulafi wa chakula na ulevi katika vinywaji.  Inatakiwa kutumia akili aliyonayo mwanadamu kwa kufikiria zaidi maendeleo mema ya kimwili ya kiroho badala ya kuwa na tabia ya ulafi na ulevi.

Waroma 14:17. ´Maana ufalme wa Mungu si shauri la kula na kunywa, bali unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho Mtakatifu.´

ENGLISH:    AS SOON AS YOU EXPERIENCE HUNGER PANGS (FEEL HUNGRY) WHY DO YOU ALWAYS WANT TO EAT?

The Sukuma people form the largest ethnic group in Tanzania with more than six million members. This population is concentrated in and around Mwanza and Shinyanga Regions. Other ethnic groups that are present have been progressively isolated or assimilated into this big unit. To speak the Sukuma language is the most normal thing in many villages of the area, and many Sukuma beliefs and practices are very much alive today.child

This humorous Sukuma proverb is used by a mother to teach and counsel her children on discipline in eating, patience and perseverance in waiting for food to be served and the evil of gluttony. She emphasizes that a person who calls for food at the least sign of hunger pangs (that is compared to “wind” in the stomach in the original Sukuma), such as the child always saying “I’m hungry,” has no discipline in his or her life. The proverb is also used in a conversation with a glutton who is eating all the time.

 

4. Magembe abhili gatakijaga kwikumya

Mbuki ya lusumo lwenulu bhakawilagwa bha kaya imo abho bhikenyaga, jina gutimbiwa ng´holo giki mihayo yabho ishile. Bhakalenganijiwagwa na magembe nguno abhanhu ulu bhalilima kihamo amajembe gatukija ukwikumya.

Lusumo lwenulu lulilola witoji na bhanhu abho wagikalaga kihamo umuwikaji bhobho.two people with hoes

KISWAHILI:  MAJEMBE MAWILI HAYAACHI KUGUSANA:-

Maana ya methali hii, huambiwa watu wa nyumba moja waliogombana.  Hufarijiwa kwa kuambiwa vile ili maneno yao yaishe. Hivyo hufananishwa na majembe kwa sababu watu wakiwa wanalima pamoja majembe hayo hayaachi kugusana.

Msemo huu huwalenga watu wa ndoa na wale wanaoishi pamoja kwa makazi yao.

“Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja. Adamu na mkewe wote wawili walikuwa uchi, wala hawakuona aibu.” (Mwanzo 2.24).

“Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu Asikitenganishe.” (Marko 10:8-9).

“Siri hii ni kubwa, bali mimi nanena kuhusu Kristo na Kanisa. Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.” (Waefeso 5.32-33).

ENGLISH: THE HOES OF TWO PEOPLE CULTIVATING TOGETHER IN A FIELD  SOMETIMES CLASH (HIT) AGAINST EACH OTHER.

The Sukuma Ethnic Group is the largest ethnic group (more than six million people) in Tanzania and live mainly in rural areas in the northwestern part of the country on or near the southern shores of Lake Victoria – mainly in the Mwanza and Shinyanga Regions. They are agricultural-pastoralists whose lives focus on farming (maize [corn], sorghum, cassava, sweet potatoes, cotton, etc.) and herding cows.  The hoes of two people weeding together in their fields sometimes clash (hit) against each other as seen in this Sukuma proverb. This proverb is applied to married people living in close proximity. They experience misunderstandings and differences at times. This is life.

“For this reason a man will leave his father and mother and will stick to his wife and they will become one flesh. Adam and his wife both were naked, and they did not see shame. “(Genesis 2.24).

“So they will no longer be two but one body. So what God has joined together, let not man separate. “(Mark 10: 8-9).

“This secret is great, but I am talking about Christ and the Church. Nevertheless, each one of you must love his wife as he does himself, and the wife should have respect for her husband. “(Ephesians 5.32-33).