4. Magembe abhili gatakijaga kwikumya

Majembe ya watu wawili wanaofanya kazi kwa pamoja katika shamba moja wakati mwingine hayakosi kamwe kugongana.  (Swahili) Les houes de deux personnes qui font le meme métier dans la même champ ne manquent pas de s’ecraser. (French) The hoes of two people cultivating together in a field sometimes clash (hit) against each other. (English)

SUKUMA: MAGEMBE ABHILI GATAKIJAGA KWIKUMYA:-

Mbuki ya lusumo lwenulu bhakawilagwa bha kaya imo abho bhikenyaga, jina gutimbiwa ng´holo giki mihayo yabho ishile. Bhakalenganijiwagwa na magembe nguno abhanhu ulu bhalilima kihamo amajembe gatukija ukwikumya.

Lusumo lwenulu lulilola witoji na bhanhu abho wagikalaga kihamo umuwikaji bhobho.

KISWAHILI: MAJEMBE MAWILI HAYAACHI KUGUSANA:-

Maana ya methali hii, huambiwa watu wa nyumba moja waliogombana.  Hufarijiwa kwa kuambiwa vile ili maneno yao yaishe. Hivyo hufananishwa na majembe kwa sababu watu wakiwa wanalima pamoja majembe hayo hayaachi kugusana.

Msemo huu huwalenga watu wa ndoa na wale wanaoishi pamoja kwa makazi yao.

Mwanzo 2.24.

Marko 10:8-9.

Waefeso 5.32-33.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s