661. WENE BUHOMO BHO NAMHALA BHUDAB´EJAGA KAYA.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile bhuhomo bho namhala oha kaya ndebhe. Uhomo bhunubho bhuli bho bhugayiwa  amasala ayo gadulile gumwambilija uguibheja ikaya yakwe, unamhala ng’wunuyo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘wene bhuhomo bho namhala bhudabhejaga kaya.’

 Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajikenagulaga sagala ijikolo jakwe, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agiiganikaga weyi duhu bhung’wene, kunguno ya masala gakwe ayo gadadulile uguilanghana chiza ikaya yakwe. Uweyi nulu agapandika sabho agajimalilaga mugujing’wela walwa, lakini kaya yakwe adina jiliwa.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu bhuhomo, kunguno nuweyi agajikenagulaga sagala isabho jabho, bho nduhu uguidilila ikaya yakwe. Uweyi adadebhile ugubhalanga akikalile akawiza abhanhu bhakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘wene bhuhomo bho namhala bhudabhejega kaya.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kubhiza na masala gagujilanghana ikaya yabho, bho gujitumila chiza isabho jabho, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho.

Yeremia 4:22.

Mhubiri 10:3.

Yakobo 1:4.

Yakobo 1:5.

KISWAHILI: HUYO NI PUNGUANI WA MZEE HATENGENEZI MJI.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia upunguani wa mzee wa familia fulani. Upunguani huo, ni wa kukosa akili ya kuweza kumsaidia mzee huyo katika kuijenga vizuri familia yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘huyo ni punguani wa mzee hatengenezi mji.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huziharibu hovyo mali zake, maishani mwake. Mtu huyo, hujifikiria yeye mwenyewe tu, badala ya kuwafikiria watu wake, kwa sababu ya akili yake isiyoweza kuitunza familia yake hiyo. Yeye akipata mali, huzimalizia kwenye matumizi ya hovyo, yakiwemo yale ya kuzinywea pombe, badala ya kuisaidia familia yake hiyo.

Mtu huyo, hufanana na upunguani wa mzee, kwa sababu naye huziharibu hovyo mali zake, bila kuijali familia  yake hiyo. Yeye hafahamu kuifundisha familia yake mwenendo ulio mwema. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘huyo ni punguani wa mzee hatengenezi mji.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na akili za kuzilinda familia zao, kwa kuzitumia mali zao katika kuzitunza vizuri, ili waweze kuziendeleza vizuri familia hizo, maishani mwao.

Yeremia 4:22.

Mhubiri 10:3.

Yakobo 1:4.

Yakobo 1:5.

mhini

basketball

man-traditional one

ENGLISH: THAT’S STUPIDITY OF AN OLD MAN WHICH DOESN’T BUILD A FAMILY

The source of this saying is an old man who appears to be idiot. This makes the old man fail to take control of his family. To describe such an old man, people came with the saying that ‘that’s stupidity of an old man which doesn’t build a family.’

The saying can be compared to a person who wastes his property in his/her life. One can be thinking about himself/herself with no consideration of others who might be, in one way or the other, helpful to him/her in future. If such people get wealth they recklessly spend them, for example, through drinking alcohol and other unplanned uses instead of helping their families. In so doing, they set a bad example to their children thus destroying their future.

The saying teaches people about having the mind to protect their families. People need to use the available resources in order to take good care of their families.

Jeremiah 4:22. Ecclesiastes 10: 3. James 1: 4. James 1: 5.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.