632. NG´WENGE NDALANHANU IGABHAMBILAGA MANGALA.

Imbuki ya kahayile kenako, yingilile kukikalile ka noni iyo igitanagwa Ng’wenge. Inoni yiniyo ili na masala mingi, na hangi ili ndalanhanhu noyi. Iyoyi Igichob´elaga jiliwa ja gulya mpaga gushiga ha ng´waka gungi ugogubisha jiliwa jingi. Niyo igabhambilaga amangala, kugiki ijiliwa jinijo jidizub´ipa. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘Ng’wenge ndalanhanu igabhambilaga amangala.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agagatumilaga chiza amazala gakwe bho gujitula ijiliwa ijo alijipandika, umutumami bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga uguitumama imilimo yakwe chiza mpaga opandika jiliwa ja gudula guilisha ikaya yakwe bho makanza malihu. Uweyi agajitumilaga ijiliwa jinijo mpaga obisha jiliwa jingi.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ng’wenge, kunguno nuweyi agagatumilaga amasala gakwe bho gujilang’hana chiza ijiliwa ijo agajipandikaga, umubhutumami bhokwe. Uweyi agikalaga na mhamba ya jiliwa iyo idulile guilisha ikaya yakwe, mpaka gushiga hikanza lya gubisha jiliwa jipya hangi. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘Ng’wenge ndalanhanu igabhambilaga amangala.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gugatumila amasala gabho bho gwigulambija gutumama milimo, na kujilanhana chiza ijiliwa ijo bhalijipandika, kugiki bhadule gujitumia mpaga gushika hikanza lya kubisha jiliwa jingi, umuwikaji bhobho.

Mathayo 6:19-21.

Luka 12:13-21.

Luka 16:9.

Mathayo 6:33.

Ufunuo 14:13.

KISWAHILI: NG´WENGE (NDEGE) MJANJA HUZIBIA MASUKE.

Chanzo cha msemo huo, chatokea kwenye maisha ya ndege anayeitwa Ng’wenge. Ndege huyo, ana akili nyingi pia ni mjanja sana. Mwenyewe hujitafutia chakula cha kula mpaka kufikia kipindi cha kuivisha chakula kingine. Yeye huchimbia masuke ili yasiharibike. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Ng’wenge (ndege) mjanja huzibia masuke.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutumia akili zake kwa kujitafutia chakula na kukihifadhi vizuri anapokipata, katika utendaji wake wa kazi. Mtu huyo, hujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yake, mpaga kufikia hatua ya kupata chakula kiwezacho kuilisha familia yakwe hadi wakati wa kuivisha chakula kingine.

Yeye hufanana na Ng’wenge, kwa sababu naye huzitumia akili zake kwa kujibidisha kuyatekeleza majukumu yake, na kukihidhi vizuri chakula alichokipata ili kiweze kutumika mpaga chakula kingine kitakapoiva.

 Mtu huyo, hufanana na Ng’wenge kwa sababu naye hujibidisha kutafuta chakula na kukihifadhi vizuri, kwa ajili ya matumizi ya baadaye. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘Ng’wenge (ndege) mjanja huzibia masuke.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kutumia akili zao kwa kujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yao, na kukihidhi kwa makini, chakula hicho wanachokipata, ili kiweze kutumika mpaka pale watapoivisha kingine.

Mathayo 6:19-21.

Luka 12:13-21.

Luka 16:9.

Mathayo 6:33.

Ufunuo 14:13.

mangala3

 

mangala4

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.