209. JA NG’HAB’I JIDAKWILAGA

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile sab’o ja ng’wa munhu uyo aling’hab’i. Isab’o ja ng’wa munhu ng’wunuyo jigab’izagutwalwa gujugulila jiliwa. Kuyiniyo lulu, isab’o jinijo jidakwilaga, kunguno ulu jigela nulu ngehu, jatwalwa kujusumila nulu gujupilila nzala, nonze jushila.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhadamanile ugujilanghana chiza ijikolo jabho. Abhanhu bhenabho bhagamanaga bhujikenagula sagara ijikolo jinijo ulubhajipandika. Kuyiniyo lulu, ijikolo jabho jidakwilaga, kunguno bhagamanaga bhujikenagula duhu, ulubhajikwabha. Jili sawa naja ng’wa munhu ung’hab’i, kunguno nanghwe agamanaga ujikalila gujujigulila jiliwa uluojipandika.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gumana ugujilanghana chiza ijikolo jabho ijo bhalijipandika. Ubhulanghani bhunubho bhugudula ugubhambilija abhanhu bhenabho, ugugaleka matumiji agasagara na gugadilila ayo galina solobho. Kuyiniyo lulu, isabho jinijo jigukwila na gudula gubhambilija abhanhu bhenabho  ijinagubhingija amakoye umubhulamu bhobho.

2Samweli 12:4.

Mathayo 25:28-29.

Marko 4:25.

KISWAHILI: ZA MASKINI HAZIWI NYINGI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia mali za mtu ambaye ni maskini. Mali za mtu huyo zikipatikana huwa nizinatumika kununulia chakula. Kwa hiyo basi, mali hizo huwa haziongezeki kwa sababu kila zinapopatikana hupelekwa kwenda kununulia chakula, mwishowe zinaisha.

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu ambao hawafahamu kuzilinda mali zao. Kwa hiyo basi, mali zao haziwi nyingi kwa sababu huwa wanazichezea hovyo. Ziko sawa na zile za maskini kwa sababu naye huwa anazipeleka kwenda kununulia chakula kila anapozipata.

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuelewa vizuri namna ya kuzilinda mali zao. Mafundisho hayo huweza kuwasadia watu katika kuyaacha matumizi yaliyo ya hovyo na badala yake wayafuatilie yale yaliyo ya maana. Kwa hiyo, mali hizo zitakuwa nyingi na zitaweza kuwasaidia watu hao katika kuwaondolea matatizo mbalimbali waliyonayo maishani mwao.

2Samweli 12:4.

Mathayo 25:28-29.

Marko 4:25.

man arm

 

ENGLISH: WEALTH OF THE POOR DOES NOT BECOME ABUNDANT

The above proverb looks at the wealth of a poor person. Whenever the wealth of such a person becomes available, it will be used for buying food. Therefore the poor will have no surplus because each time he gets wealth, it will be used to buy food. It eventually comes and goes.

This proverb is used to refer to people who do not know how to protect their property. So, their wealth never becomes abundant because they it is used to buy means of survival like food. That is the life of the poor because the  poor are always struggle with basic means of survival like food whenever they find wealth.

This proverb teaches people how to use their wealth beyond buying food. Such teaching can help them to abandon misuse of property. These people should remember there is always tomorrow. Therefore, they should learn to invest if they are to be properous.

2 Samuel 12: 4.

Matthew 25: 28-29.

Mark 4:25.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.