208. NGOKO YALEKWA IHILILE IGUHIMBULAGA MILO MULUZUMBA

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile namgi uyo alihakaya yakwe. Ulu ucha unamgi ng’wunuyo uneka ng’witunja ntale alihoi ahakaya yiniyo, huyo aguilang’hana yose iyahakaya, kunguno olekwagwa amanile uguitumama imilimo ya hakaya yiniyo.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo olangwa chiza na bhabhyaji bhakwe uguitumama imilimo. Umunhu ng’wunuyo adebhile ugubhalanja abhiye uguitumama imilimo iyo idulile gubhingija makoye abhanhu. Hangi amanille nugubhalanghana chiza abhanhu bhakwe. Kuyiniyo lulu, umunhu ng’wunuyo alenganilile ni ngoko iyo yalekwa ihilile.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhalanga chiza abhanhu bhabho ugujilanghana ikaya nu guitumama imilimo yabho,  haho bhadininga ukuwelelo. Ubhulangwa bhunubho bhugubhambilija abhanhu bhenabho ugujilabhila chiza ikaya jabho, na guitumama chiza imilimo iyo idulile gujib’eja chiza ikaya jinijo. Hangi bhugubhambilija uguikala chiza na bhichabho umuwikaji bhobho.

2Timotheo 1:6-7.

Yohane 21:17-19.

KISWAHILI: KUKU ALIYEACHWA AKIWA ANAFAHAMU KUWIKA ATOAYE SAUTI KUBWA KWENYE KIJUMBA

Chanzo cha methali hiyo chaangalia mzee aliyeko kwenye familia yake. Mzee huyo akifa na kuacha kijana mkubwa yupo pale nyumbani, huyo ndiye atakayelinda yote yaliyopo pale nyumbani, kwa sababu aliachwa akiwa anazifahamu kazi zilizopo kwenye familia hiyo.

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu aliyefundishwa vizuri na wazazi wake namna ya kuzifanya vizuri kazi za pale nyumbani. Mtu huyo afahamu kuwafundisha watu namna ya kuzitekeleza vizuri kazi hizo ziwezazo kuwasaidia watu hao katika kuondoka kwenye matatizo. Zaidi ya hayo, mtu huyo afahamu kuwatunza vizuri watu wake. Kwa hiyo basi, mtu huyo afanana na kuku aliyeachwa akiwa anafahamu kuwika.

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwafundisha vizuri watu wao namna ya kuzijali vizuri familia zao, kabla hawajaaga dunia. Mafundisho hayo yatawasaidia watu hao katika kuzilea vizuri familia zao, na kuwalinda itakiwavyo wale waishio nao katika maisha yao.

2Timotheo 1:6-7.

Yohane 21:17-19.

cock

 

ENGLISH: THE COCK LEFT BEHIND WHILE KNOWING TO CROW GIVES A STRONG BASE IN THE HUT

This proverb talks about the old man in his family. When the old man dies and leaves the old son in the house, the one left behind will protect the home because he know how to work in the family.

This proverb is used to refer to a man who has been taught well by his parents how to lead a home well. That person knows how to teach other members of the family how to do the best they can in solving problems. In addition, the person should know how to take good care of his people. So, that person is like a cock that was left after already knowing how to crow.

This proverb teaches people about how to properly teach their children how to take care of their families, before they die. This teaching will help these people better care for their families, and protect them after the parents die.

2 Timothy 1: 6-7.

John 21: 17-19.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.