207. GULALA NA IBHUDU

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya kahayile kenako ilolile bhanhu ab’ob’atogilwe gukeleja ugumisha. Abhanhu bhenabho b’agalalaga imo mpaga bhab’ilitija ilikanza ilya gumisha. Ubhukeleja bho gumisha bhunubho, hubho bhugitanagwa bho ‘gulala na ibudu.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agakelejaga ugushiga ukumilimo yakwe bhuli makanza. Umunhu ng’wunuyo adadimilaga chiza iratibha yakwe iyoidulile gung’wambilija ugupandika solobho bhuli lushigu umuwikaji bhokwe. Ubhukeleja bhunubho bhugenhaga makoye ukuli munhu ng’wunuyo gagugaiwa imilimo na gub’iza na nzala ahakaya yakwe.

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwanguha uguja ukumilimo yabho. Uwanguhi bhunubho ubhogushika ukimilimo yabho, bhugub’enhela solobho na wasa bho gujib’eja chiza ikaya jabho. Yigelelilwe abhanhu bhenabho bhikomeje uguitumama chiza imilimo yabho yiniyo kugiki bhadule gupandika matwajo mingi ayo gadulile gujikaja chiza ikaya jabho.

Ijinagongeja, akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gujileka inhungwa ija bhukeleja ubhoguja ukumilimo yabho, kunguno ubhukeleja bhunubho bhudulile gub’enheleja gupandika makoye gagupejiwa umumilimo yabho.

Mathayo 24:42.

Mathayo 25:11-13.

KISWAHILI: KULALA KWA KUCHELEWA KUAMUKA

Chanzo cha msemo huo chaangalia watu wale wapendao kuchelewa kuamuka. Watu hao hulala kimoja mpaka kupitiliza muda wa kuamuka. Uchelewaji huo wa kuamuka, ndio huo uitwao ‘kulala kwa kuchelewa kuamuka.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye huchelewa kufika kwenye kazi zake kila wakati. Mtu huyo huwa hatunzi ratiba yake ile iwezayo kumsaidia katika kupata mafanikio yatakiwayo kila siku katika maisha yake. Uchelewaji huo huleta matatizo kwa mtu huyo, yakiwemo yale ya kukosa chakula katika familia yake na hata kupelekea hatari ya kufukuzwa kazi na waajiri wake.

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwahi kufika kwenye kazi zao. Kuwahi kwenda kazini huwaletea watu faida za kuzijenga vizuri familia zao. Yafaa watu waendeleze uwajibikaji mzuri wa kuyatekeleza majukumu yao ya kila siku.

Zaidi ya hayo, msemo huo huwafundisha watu juu ya huziacha tabia za kuchelewa kwenda kazini, kwa sababu uchelewaji huo huwarudisha watu nyuma kimaendeleo kutokana na kupelekea kwao kushinda kutimiza malengo yao, na hata kupoteza kazi maishani mwao.

Mathayo 24:42.

Mathayo 25:11-13.

black-man

ENGLISH: OVERSLEEPING LEADS TO BEING LATE

The above saying looks at those people who oversleep and delay to wake up as a result. These people sleep until late in the morning. As a result, they get late to wherever they are going. Such a saying is used to refer to a person who goes to work late. Such a person does not manage his/her schedules well, which could help him achieve success in his every day life. Lack of punctuality causes problems to the person including lack of food in one’s family and even the risk of being fired by one’s employers.

The saying teaches people about being punctual to their work. Punctuality gives people the benefit of building their families well. It is important for people in carrying out their daily responsibilities.

Additionally, the saying teaches people about abandoning the tendency of delaying to the workplace because such delays delay progress. Matthew 24:42.

Matthew 25: 11-13.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.