202. BHUSIGA BHO GULANDA BHUTAMALAGA NZALA HAKAYA

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya kahayile kenako ilolile b’usiga ubho gulanda aha kaya ya ng’wa munhu. Ub’usiga bhunubho b’ugab’izaga bhugehu duhu, kunguno unandi obho agab’ub’uchaga wei kugiki bhagazugilwe abhanhu bhakwe bhalye. Gashinaga ub’usiga bhunubho bhugashilaga kulikanza liguhi duhu. Kuyiniyo lulu, unandi ob’usiga ng’wunuyo  agisangaga bhuli lushigu adinabhusiga aha kaya. Hunagwene, abhanhu bhagayombaga giki ‘b’usiga bho gulanda bhudamalaga nzala hakaya.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agab’izaga alalilile aha kaya yakwe bhuli lushigu kunguno ya bhukokolo bhokwe ubho gutumama milimo. Umunhu ng’wunuyo agikalaga bho gumana wilandilija ijiliwa bhuli lushigu. Kunguno yiniyo, abhiye abho bhandebhile igiki alinkokolo, bhagang’wilaga giki, ‘b’usiga bho gulanda b’udamalaga nzala hakaya,’ kugiki atumame milimo ya gudula kumpandikila jiliwa umunhu ng’wunuyo.

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kub’iza bhakamu bha gutumama milimo ya gubhapandikila jiliwa ijo jidulile gumala nzala umukaya jabho. Ubhukamu ubho gutumama milimo bhunubho, bhugub’enhela sabho za gudula gubhambilija ijinagujib’eja chiza ikaya jabho.

Mithali 20:4.

2Wathesalonike 3:10.

KISWAHILI: MTAMA WA KUAZIMA HAIMALIZI NJAA KWENYE FAMILIA

Chanzo cha msemo huo chaangalia mtama wa kuazima kwenye familia. Mtama huo huwa kidogo kwa sababu muazimaji wake huubeba yeye mwenyewe ili wakapikiwe watu wake wale. Kumbe mtama huo huisha kwa muda mfupi tu. Kwa hiyo, muazimaji wa mtama huyo hujikuta hana mtama karibu kila siku, kwenye familia yake. Ndiyo maana, watu husema kwamba, ‘mtama wa kuazima haumalizi njaa kwenye familia.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwa ana njaa nyumbani kwake kila siku, kwa sababu ya uvivu wake wa kufanya kazi. Mtu huyo kuishi kwa kuazima chakula kwa watu wengine karibu kila siku. Kwa sababu hiyo, wenzake ambao humfahamu kwamba ni mvivu, humwambia kwamba, ‘mtama wa kuazima haumalizi njaa kwenye familia,’ ili afanye kazi za kumpatia chakula mtu huyo.

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kufanya kazi za kuwapatia chakula kiwezacho kumaliza tatizo la njaa kwenye familia zao. Bidii hiyo, itawapatia watu hao mali za kuweza kuwasaidia katika kuzijenga vizuri familia zao.

Mithali 20:4.

2Wathesalonike 3:10.

food1

ENGLISH: BORROWED MILLET DOES NOT END HUNGER IN THE FAMILY

The in the air saying focuses on the aspect of borrowing food (millet) for family use. Ordinarily, borrowed millet is usually very little because the borrower carries the much that can feed his/her family only for a short time. Therefore there is always scarcity of the food in the family every day. That is why people say, ‘borrowed millet does not end hunger in the family.’pearl-millet-

The saying is likened to someone who goes hungry on daily basis because of his/her laziness. He/she survives on borrowed food from other people almost daily. So, in a bid to encourage him/her to work hard and provide enough food for his/her family, his/her colleagues would tell the lazy born that ‘borrowed millet does not end hunger in the family.’

The above saying teaches people about how hard work can enable them provide sufficient food for their families and alleviate the problem of hunger. It is hard work that yields the resources to help people build their families effectively.

Proverbs 20: 4.

2 Thessalonians 3:10.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.