201. IPILE IDALEB’ELAGA

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya kahayile kenako ilolile nyama iyo yazugagwa. Inyama yiniyo igab’izaga ya guliwa na bhuli munhu uyo whisangaga. Igachembagulagwa na gutinagulwa kugiki bhanhu bhingi bhadule gupandika nulu kadoo. Ichene huguhaya giki, inyama ulu yuzugwa bhagulya bhingi, nulu munhu ugaiwa inyama yiniyo, agubuta nulu misuji yayo. Gashinaga lulu,  guligonhana igiki, ‘ipile idaleb’elaga.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo atogilwe ugubhambilija abhanhu abho b’alinamakoye bho gutumila jikolo na miganiko gakwe. Umunhu ng’wunuyo aling’wiza nholo ijinagub’ambilija abhanhu abho bhali na makoye. Adeb’ile ugugab’anha na bhiye ijo alinajo, kunguno amanile igiki iyoipile idaleb’elaga.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gudebha ugubhambilija abhanhu abho bhali na makoye. Yigelelilwe abhanhu bhenabho bhadule ugubhambilija abhichabho, bho gubhinha jikolo, nulu miganiko ayo gadulile ugubhambilija umuwikaji bhobho.

Marko 7:25-30.

KISWAHILI: ILIYOIVA HAIPELEI

Chanzo cha msemo huo chaangalia nyama iliyopikwa. Nyama hiyo huliwa na kila mtu aikutaye mahali ilipo. Huwa inakatwa katika vipande vidogo kwa lengo la kuwawezesha watu wengi kuipata. Ndiyo kusema kwamba, nyama ikipikwa huliwa na watu wengi, na hata kama mtu akikosa kipande chake, atakunya walau mchuzi wake. Kumbe ni kweli kwaba, iliyoiva haipelei.

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu apendaye kuwasaidia watu walio na matatizo kwa kutumia mali na mawazo yake. Mtu huyo ni mkarimu katika kuwasaidia wahitaji walioko kwenye maeneo yake. Afahamu namna ya kuwapa wenzake vile alivyo navyo, kwa sababu afahamu pia kwamba, iliyoiva haipelei.

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuelewa namna ya kuwasadia watu ambao wako kwenye matatizo mbalimbali, yakiwemo yale ya kupungukiwa na chakula. Yafaa watu hao wajitahidi kuwasaidia wenzao kwa kuwapatia kitu au ushauri wa kuwawezesha kupata utatuzi wa matatizo yao.

Marko 7:25-30.

appetizer

ENGLISH: NO ONE MISSES WHAT HAS BEEN COOKED

The above saying is about cooked meat. Such meat gets to be eaten by everyone who comes around. It is usually cut into small pieces so that many people can each have a bite. But in the event that someone misses a piece, he/she can drink its sauce. That is why it is said that ‘no one misses what has been cooked.’cooking2

The saying is likened to someone who, through his/her ideas and wealth, enjoys helping people who are in problems, like those in needy situations. He/she understands the spirit of sharing because he/she knows that ‘no one misses what has been cooked.’

Such saying teaches people about being helpful to those saddled in various problems, including them that lack food. It is good for people to assist others either by giving them material provisions or pieces of advice to enable them find solutions to their problems.

Mark 7: 25-30.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.