200. UOGUKELEJA NG’WA NTEMI AGUYOLA MIMBA GO NVA

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya lusumo lunulo ingilile hajigukulu ja Ntemi. Ikale abhatemi bhagita jigukulu  ja gulya pye abhanhu. Umunhu uyo agaja akelejije, huyo agab’iza na nimo go guyola amapalala. Gwingila henabho, abhanhu bhagandya guyuyomba giki, ‘uogukeleja ng’wa Ntemi aguyola mimba go nva.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agakelejaga ugushiga ahajigukulu, nulu ahalib’ilinga ilya ntale. Umunhu ng’wunuyo agasangaga abhiye bhaipandikaga yose iyo iliya solobho umuwikaji bhobho. Abhiye bhenabho bhaganhugulaga bhogung’wila giki, ‘uogukeleja ng’wa Ntemi aguyola mimba go nva,’ kugiki oye umunhu ng’wunuyo ugukeleja.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gwanguha ugushiga ukumilimo nu kumihayo iya solobho umuwikaji bhobho. Imilimo ni mihayo yiniyo ili kihamo na jikukulu ja bhatale, lib’ilinga lya bhatale ilyaguyombela mihayo ya solobho umuwikaji bho bhanhu, na guja gujusalila. Uwanguhi b’unub’o b’udulile gubhambilija abhanhu bhenabho ijinagujibheja chiza ikaya jabho.

KISWAHILI: ATAKAYECHELEWA KWA MFALME ATAZOA MZOGA WA MBWA

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye skukuu ya mfalme. Hapo zamani wafalme waliwaalika watu wote kwenda kula skukuu. Mtu yule aliyefika kwa kuchelewa ndiye aliyekuwa mzoaji wa takataka. Kuanzia hapo, watu walianza kusema kwamba, ‘atakayechelewa kwa mfalme atazoa mzoga wa mbwa.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule achelewaye kufika kwenye matukio muhimu maishani mwake, yakiwemo yale yanayoitishwa na wakubwa. Mtu huyo hukuta wenzake wamepata yote yaliyo ya maana katika kuwaletea maendeleo. Kwa hiyo, wenzake hao humuonya mtu huyo ili asichelewe tena, kwa kumwambia kwamba, ‘atakayechelewa kwa mfalme atazoa mzoga wa mbwa.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwahi kufika kwenye matukio muhimu katika maisha yao. Matukio hayo ni pamoja na skukuu mbalimbali, mikutano, semina, muda wa kufungua ofisi zao, kuanza kazi na kwenda kusali. Kuwahi huko, kutawasaidia watu hao katika kuziendeleza na kuzijenga vizuri familia zao.

Mathayo 25:7-13.

dog-dead

ENGLISH: HE WHO GETS LATE AT THE KING’S PALACE COLLECTS THE DOG’S CARCASS

The overhead proverb draws its origin from the ceremonies at the king’s palace. In the past, kings invited all the people to evening feasts. But whoever arrived late was tasked to collect the trash. It is from such background that people began to say, ‘he who gets late at the king’s palace collects the dog’s carcass.’

The proverb is comparable to someone who arrives late at the most important events in his/her life, including those convened by those in authority. The person gets there when everything of value has already been taken up by his/her colleagues. Therefore, to warn the latecomer against future delays, the colleagues would tell him/her, ‘he who gets at the king’s palace late collects the dog’s carcass.’

Such proverb teaches people about arriving on time at the important events in their lives. These events could include important occasions, meetings and seminars. It is also a critical thing to observe time for opening offices, going to work and/or for prayer. Keeping time enhances development and family growth.

Mathew 25: 7-13.

 

 

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.