175. BHUYANGI BHO NGOKO BHUDIPANDIKAGA IFUNGWE

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya kahayile kenako ililola ngoko iyo ilina bhana yao. Ingoko yiniyo ulu yusojiwa ung’wana oyo na Fungwe igayangaga noi. Igahadikaga na gulala, aliyo ifungwe idigwaga nulu kinhu josejose, kunguno iyoi igalalaga ng’wigulya nu ng’wana ongoko na gwandya gukalya akasusu kenako.

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adoyaga wangu ugulila uluopandikaga makoye, guti ga lufu ulu lwigelaga aha ng’wakwe. Ogulila go ng’wa munhu ng’wunuyo, gwiyegelile nu bhuliji ubho ngoko iyo yasojiwagwa ung’wana oyo na lifungwe. Igelelilwe umunhu adebhe igiki, ubhuliji ubho ng’wa munhu b’udadulile ugunshosha uyo omalaga guzumalika.

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gub’iza na wiyumilija bhutale ulu bhapandikaga makoye, guti ga guchilwa na bhadugu bhabho. Igelelilwe abhanhu bhenabho bhamalile na goya ugulila, kunguno undugu obho ng’wunuyo, omalaga gwinga kuwelelo, atiho gushoshiwa na bhuliji bhobho.

Ijinagongeja, akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka uguyomba imihayo iyo idinasobho ulubhapandikaga makoye. Igelelilwe bhilunguje bho guyomba mihayo iyo idulile gubhambilija abhanhu bhabho umu gwikala na mholele na b’ichab’o.

KISWAHILI: MALALAMIKO YA KUKU HAYAMPATI MWEWE

Chanzo cha msemo huo chaangalia kuku mwenye vifaranga vyake. Kuku huyo akinyang’anywa kifaranga na Mwewe, huhangaika kwa kulia sana. Hujaribu hata kuruka, lakini Mwewe huwa hasikii lolote, kwa maana huruka juu akiwa na kile kifaranga na kuanza kukitafuna.

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu asiyeacha mapema kulia apatapo matatizo mbali mbali, yakiwemo yale ya kufiwa na ndugu kwenye familia yake. Kulia kwa mtu huyo hukaribiana na kilio cha kuku aliyenyang’anywa kifaranga chake na Mwewe. Yafaa mtu kama huyo aelewe kwamba, kilio cha mtu hakiwezi kumrudisha kwenye maisha haya yule aliyefariki.

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kutosha kuwasaidia katika kustahimili matatizo mbali mbali, yakiwemo yale ya kufiwa na ndugu zao. Yafaa watu kama hao, warudie hali yao ya kawaida kwa kuacha kulia, kwa sababu mtu yule aliyefariki hawezi kurudishwa kwa kilio chao.

Zaidi ya hayo, msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha kusema maneno yasiyofaa wapatapo matatizo mbali mbali maishani mwao. Yafaa wafarijiane kwa kuongea yale yawezayo kuwasaidia katika kuishi kwa amani na wenzao pale walipo.

Kutoka 3:19.

Ayubu 1:21.

Mathayo 10:26-28.

1Wakorintho 15:20-26.

1Wakorintho 15:54-58.

cochin

ENGLISH: THE CRIES OF THE HEN DO NOT REACH THE HAWK

The overhead saying is about a hen and her chicks. When a hawk snatches one of the chicks, the hen cries and complains for a long time. But the hawk flies high up without a care, and goes ahead to feast on the chick. The hen’s loud lamentation changes nothing.red-hawk

The saying is likened to someone who keeps on complaining when faced with the various trials and tribulations in life, including loss of a relative in his/her family. His/her incessant lamentation is likened to that of a hen whose chick is snatched by a hawk. It is vital for such a person to understand that no amount of weeping can bring back the dead to life.

That saying teaches people about the need to possess enough patience to enable them cope with various situations of distress, including loss of loved ones. It is necessary that such people quit crying and resume their normal lives, because the deceased cannot be resurrected through expression of sorrow by the bereaved.

In addition, the saying is used to discourage people from negativity in regard to dealing with life’s myriad problems. They should instead comfort and encourage one another to co-exist peacefully and with optimism.

Exodus 3:19.

Job 1:21.

Matthew 10: 26-28.

1 Corinthians 15: 20-26.

1 Corinthians 15: 54-58.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.