163. B’UKILIMAGA BHULI MU NDA

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya lusumo lunulo ililola nguzu ja shiliwa umu nda ya ng’wa munhu uyo agutumamaga milimo. Ishiliwa jigang’winhaga nguzu umunhu ng’wunuyo ja gongeja bhukamu bho gutumama imilimo yiniyo.

Untumami ulutuub’a agagaiwagwa inguvu ja gung’wambilija ugwikomeja ni milimo yiniyo. Hunagwene abhanhu abhabhalilimila ngese ya bhusiga bhagachaligwa ishiliwa guko ngunda ugo ngese yiniyo.

Ulubhenhelwa ishiliwa abhalimiji bha ngese bhenebho bhagayombaga giki “B’ugilimaga bhuli mu nda” mumho bhatuub’aga iligelelwa bhaje bhagajilwe ishilima jinijo.

“Ulusumo lunulu lugatumiligwa hikanza lya kulima nulu hikanza lya gulya: nono ahikanza ilo bhalilima mu ngunda na gwiigwa bhali na nhuub’a. Ahenaho bhagayombaga, ‘bukilimaga buli mu nda’. Bhalihaya abha Padri Donald Syberts nu Padri Joseph Healey umujitabho jabho ijihayile “KUENEZA INJILI KWA METHALI” ukurasa bho 11.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhalishaga shiliwa chiza abhatumami bhakwe, kunguno ishiliwa jilibhupanga bho ng’wa munhu. Jigang’winhaga nguzu ja gwikomeja gutumama milimo yiniyo bho nguzu na bhuyegi.

Hangi ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli msab’i uyo agabhagolaga chiza abhatumami bhakwe bho gub’inha ihela (imishahara) jabho bhuli ng’weji bho nyatengeke. Adab’adigijaga imishashara yabho.

Kuyiniyo lulu, ulusumo lunulo, lulilanga bhanhu higulya ya gubhagalila shiliwa nulu hela abhatumami bhabho, kugiki bhadule gutumama chiza na bho b’uyegi imilimo yiniyo.

Ijinagongeja, ulusumo lunulo lulilanga bhanhu higulya ya guilisha shilima imimili yabho ni mioyo yabho, kugiki bhadule kupandika nguzu ja gutumama chiza. Idichiza uguleka ugulya ululitumama nimo umuwikaji bhoko, kunguno, ‘b’ugilimaga bhuli mu nda.’

KISWAHILI: HUJILIMA UKIWA TUNBONI

Chanzo cha methali hiyo huangalia nguvu ya chakula tumboni mwa mtu anayefanya kazi shambani. Chakula ndicho kimpacho nguvu mtu huyo alimaye shambani.

Ndiyo maana mtu huyo hukosa nguvu za kumsaidia kuongeza bidii ya kuifanya kazi hiyo. Watu wanaopalilia palizi kwenye shamba la mtama hupelekewa chakula huko shambani, kwa ajili ya kuwawezesha kula na kupata nguvu za kuendelea kuipalilia palizi hiyo.

Wanapoletewa chakula hicho wapaliliaji wa palizi hao, husema kwamba, ‘hujilima ukiwa tumboni’ maana yake, watakiwa kwenda kukila chakula hicho.

“Methali hii hutumika wakati wa kulima au wakati wa kula: hasa wakati wanapolima shambani na kujisikia wana njaa. Hapo huwa wanasema “bukilimaga buli mu nda”. Wasema Padri Donald Syberts na Padri Joseph Healey kwenye kitabu chao kiitwacho “KUENEZA INJILI KWA METHALI” ukurasa wa 11.

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwalisha chakula vizuri wafanya kazi wake, kwa sababu chakula ni uhai wa mtu huyo. Chakula humpa nguvu mtu huyo za kuongeza bidii ya kuifanya kwa furaha kazi hiyo.

Zaidi ya hayo, methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye ni tajiri anayewajali kwa kuwapatia mishahara wafanya kazi wake vizuri na kwa haki, kila mwezi. Hawakawishii mishahara yao.

Kwa hiyo basi, methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwajali na kuwatunza wafanyazi kwa kuwapatia chakula wanaofanya kazi shambani, na mishahara ya kila mwezi bila kukawia, wale wanaofanya kazi maofisini. Matunzo hayo huwawezesha kupata nguvu za kuzifanya kazi hizo vizuri na kwa furaha.

Zaidi ya hayo, methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuilisha milii na mioyo yao kwa chakula kinachotakiwa kwa ajili ya kuwapatia wao wenyewe nguvu za kuzifanya kazi hizo vizuri na kwa furaha. Siyo vizuri kuacha kula chakula unapofanya kazi maishani mwako, kwa sababu ‘hujilima ukiwa tumboni.’

Kumbukumbu la Torati 8:3.

1Corinthians 10: 16-17.

 

family-dinner

ENGLISH: IT CULTIVATES ITSELF WHILE IN THE STOMACH

The overhead proverb is about the energy created by the food in the stomach of someone working in the farm. Food gives a person such energy he/she requires to work, since such a person will have his/her energy drained, resulting in reduced capacity to perform the work well.

People who weed crops are given food in the field to enable them replenish their strength to continue with their work effectively.

When the food is brought in the farm, the workers say to one another, “it cultivates itself while in the stomach”, meaning they should go and eat the food.

 “This proverb is used during cultivation or during eating: especially whenever the farm workers feel hungry. So they would say, “it cultivates itself while in the stomach”, write Fr. Donald Syberts and Fr. Joseph Healey in their book entitled “KUENEZA INJILI KWA METHALI”. Page 11.

The proverb is likened to a person who feeds his/her workers well, because he/she understands that food is life. Food gives people the strength to perform their work happily.

Similarly, the axiom is likened to a wealthy person who cares about his/her workers by paying them fair salaries every month. He/she also pays them promptly.

Thus, such maxim teaches people about caring for workers; by providing those who work in the fields with enough food to give them strength, and by paying monthly salaries to those who work in the offices. Such care gives them the strength to enable them fulfill those tasks effectively and happily.

In addition, such a maxim instills in people the need to provide their bodies with enough food, which is a basic need, to give them the strength for fulfilling their daily tasks well and happily. In life when you work, it is not good to fail to eat, because “it cultivates itself while in the stomach.”

Deuteronomy 8: 3.seller-

1 Corinthians 10: 16-17.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.