164. BHUGENI BHO KWILUBHALILA

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya lusumo lunulo ililola ngeni uyo ogenihaga ahakaya iyo bhagikalaga b’idakiilaka. Ikaya yiniyo iliyabhanhu abho bhadantogagwa ungeni uyo obhagenihaga ng’wunuyo.

Abhanhu bhenabho bhagikalaga bhalubhalile, kunguno ya kukija uguntogwa ungeni ng’wunuyo. Umung’holo jabho bhahayile giki abhingile ungeni uyo alihenaho. B’adatogilwe ugungalila bho gung’winha shiliwa. Huna gwene abhanhu bhagayombaga, ‘Bhugeni bho gwilubhalila.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kulimunhu uyo aliming’holo uyo adatogilwe ijiliwa jakwe jiliwe na bhageni guti bhenabho. Umunhu ng’wunuyo agab’apejaga abhageni bhakwe bho gubhalub’alila. Agikalaga obhadakilaga abhageni b’akwe bhenab’o, mpaga nose b’agwiyangula gushoka kaya yao.

Kuyiniyo lulu, ulusumo lunulo lulilanga bhanhu higulya ya kubhuleka uwiming’holo umumakaya gab’o. Bhatogwe guiyombya chiza na bhageni bhabho. Ulu munhu ugeniha hakaya iyo bhadantogagwa b’adiyombyaga nanghwe, kunguno ya wiming’holo bho hakaya yabho yiniyo.

Ijinagongeja, ulusumo lunulo lulilanga bhanhu higulya ya kub’iza na b’utogwa kubhageni ubho gub’ambilija uguhoya chiza nab’o na gub’azugila shiliwa, kugiki bhadule gwikala na bhuyegi umuwikaji b’ob’o.

KISWAHILI: UGENI WA KUKASIRIKIANA

Chanzo cha methali hiyo kinaangalia mgeni aliyetembelea kwenye familia ambayo wenyeji wake huwa wamekasilikiana. Familia hiyo ni ya watu ambao hawawapendi wageni waliowafikia pale nyumbani kwao.

Watu hao huwa wako kimya na bila raha kwa sababu ya kukosa upendo kwa mgeni aliyewafikia hapo. Hawapendi kumpa chakula mgeni huyo kwa sababu ya uchoyo uliomo mioyoni mwa wanafamilia hao. Mioyoni mwao hutaka mgeni huyo aondoke kwao. Ndiyo maana watu huuita ugeni huo kama ‘ugeni wa kukasirikiana.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu aliye na tabia ya uchoyo. Watu hao hawapendi chakula chao kiliwe na wageni wao. Hawapendi kuwashirikisha wengine mali zao. Mtu huyo, huwafukuza wageni wake kwa kuonesha sura ya kuwakasirikia mpaka wageni hao huamua kuondoka kwenye familia yake hiyo.

Kwa hiyo basi, methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya uchoyo maishani mwao kwa kuongea vizuri na wageni hao na kuwapatia chakula kwa kadiri wawezavyo. Ukienda kwenye familia ya wale ambao hawakupendi, hawataongea nawe.

Zaidi ya hayo, methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na upendo kwa wageni uwawezeshao kuongea nao na kuwakarimu kwa kupatia mahitahi yao muhimu, kikiwemo chakula, ili waweze kuishi kwa furaha maishani mwao.

Marko 7:21-23.

selfishness

ENGLISH: AN ANNOYED VISITATION

The above proverb is about paying a visit to a family whose members are full of resentment. Such a family exhibits disgust towards those who come to visit their home.

To show their displeasure and lack of love towards the visitors, such people would be quiet and devoid of excitement. And because of their selfishness, they would be unwilling to share their food with the visitors. In fact, they would quietly be wishing that the guests leave their premises. That is why this is referred to as “an annoyed visitation.”

Such adage can be likened to the character of selfishness in people. Such people dislike sharing their food, or even property, with others. They would repulse guests by wearing an angry countenance, and in essence succeed in expelling these ‘unnoyed intruders’ from their midst.

Therefore, the overhead truism teaches people against selfishness, seeks to promote good communication even with strangers, and encourages the spirit of sharing generously with them. That nurtures healthy family relationships.

In addition, that axiom imparts in people the virtue of love towards visitors, which enhances good relationships, including being generous enough to provide them with basic needs, like food, so they can lead happy lives.

Mark 7: 21-23.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.