98. Ntemi Ludoviko

Collected by: Don Sybertz,

With special thanks to Rev Joe Healey  (African proverbs,Sayings and stories)

Ludoviko oli Ntemi o Bhufaransa Ng’waka 1214. Umayu okwe olinawikomeja bho gunlela jizunya abhize Ntemi ng’wela (Ntakatifu).

Ntemi Ludoviko na nke okwe bhali na bhana ikumi na umo. Bhuli lushigu imhimbi obhitanaga umu chumba jakwe na gubhashauli bhabhize na gunhamya Mulungu (widoha kuli Mulungu).

Ojaga bhuli lushigu gujusalila mumisa ya dilu. Olina guzunya gutale ahigulwa ya ubhuliho bho ng’wa Yesu Kristo umu Sakramenti ya Ekaristi nhakatifu.

Lushugu lumo bhadugu bhamukaya yakwe bhagansanga na gung’wila bho golecha gukumya gutale giki u Yesu Kristo agiyolecha kuli nene ng’winikili umu Ekaristi, bhagang’wikumbilija wize wangu wangu gunhola Sebha.

Aliyo yalinduhu nguno ya gunibhona unene bho miso gakwe, aliyo itoshije du ugunibhona bho miso ga guzunya. Agatogwa giki ibhize giko kuabho bhadina mhona aliyo bhalinzunya.

Kiswahili: Mtemi Ludoviko

Ludoviko alikuwa Mtemi wa Ufaransa Mwaka 1214. Mama yake alifanya bidii ya kumlea kikristo ili awe Mtemi Mtakatifu. Mtemi Ludoviko na mke wake walikuwa na watoto kumi na moja.

Kila siku jioni aliwaita chumbani kwake na kuwashauri wawe na uchaji wa Mungu. Kila siku bila kukosa pia alishiriki ibada ya Misa Takatifu. Alikuwa na imani kubwa kuhusu uwepo wa Yesu Kristo katika sakramenti ya Ekaristi.

Siku moja jamaa katika familia yake walimjia na kumwambia kwa mshangao mkubwa kwamba, Yesu Kristo, mimi mwenyewe alijionyesha katika Ekarsti wakamsihi aje upesi kumtazama Bwana.

Lakini hakuwa na haja ya kuniona mimi kwa macho yake, lakini inatosha tu kuniona kwa macho ya imani. Alipendelea kuwa na wale ambao hawajaona bali wanasadiki.

living-nativitycross-

ENGLISH: CHIEF LUDOVICK.

Ludovic was the French king  in 1214. His mother made a great effort to raise him in a christian way so that he could become a Holy King. King Ludovic and his wife had eleven children.

Every evening, he called them to his bedroom and advised them to have a godly attitude. He participated in the Sacred Mass every day without missing. He had great faith in the presence of Jesus Christ in the Eucharist.

One day the relatives in his family came to him and told him in amazement that Jesus Christ himself  had appeared in the Eucharist and asked him to come quickly to see the Lord.

However, he did not need to see Jesus with his flesh eyes, but ewith  spiritual ones for Jesus himself preferred to be with those who have not seen but believe.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.