97. Bhasumba Na Shetani

Collected by: Don Sybertz,

With special thanks to Rev Joe Healey  (African proverbs,Sayings and stories)

Bhaliho bhasumba bhadatu  abho bhagigwa habhali ja ng’wa shetani bhudachiwa noi. Bhagiyangula kuja gujunchobha bhamulage. Aho bhashiga bhunsanga bhung’wila, “Lelo duligubhulaga.”

Ushetani agashosha, “Sawa, aliyo tamu diyeje na soda.” Umo wing’we agadenhele Soda.” Aho atali uguja ugujugula isoda, ushetani ng’wunuyo agabholekaja abhasumba bhenabho lunasi na dhahabhu, ubhawila, “Ulu ng’wunileka ugunibhulaga nagung’winha isabho jiniji.”

Halafu unsumba uumo agaja gujugula soda. Umunzila unsumba ng’wunuyo agandya guiganika umo alajipandikile isabho jinijo. Abhona igubhelela ugutuula simu umu soda jinijo, kugiki pye abho bhalamale gujing’wa na gucha, agudula gusola isabho jinijo, lunasi ni dhahabhu.

Bhasi, agita chiniko. Gashi ukunuma abhiye bhenabho bhizunilijaga giki, ung’wunuyo uyo ojaga gujugula soda, ulu oshoga abhulagwe kugiki abhoi abhabhili bhadule gugabhana isabho jinijo. Aho obhinha du isoda unsumba ng’wunuyo agabhulagwa. Aho bhamulaga bhagang’wa isoda jinijo.

 

Kiswahili: Vijana Na Shetani

Walikuwepo vijana watatu waliosikia habari za Shetani wakachukizwa. Wakaamua kwenda kumtafuta wamuue. Walipofika wakamkuta na kumwambia, “Leo tunakuua.”

“Sawa, lakini kwanza tuburudike na soda.” Mmoja wenu atuletee soda.” Kabla ya kwenda kununua soda, yule shetani aliwaonesha vijana wale almasi na dhahabu, akawaambia,  “Mkiacha kuniua nitawapa mali hii.”

Halafu kijana mmoja akaondoka kwenda kununua soda. Njiani yule kijana alifikiria jinsi ya kupata mali ile. Akaona itafaa kuweka sumu katika zile soda, ili wote baada ya kuzinywa na kufa, ataweza kumiliki  ile almasi na dhahabu. Basi akafanya hivyo.

Kumbe kule nyuma wale wenzake wakakubaliana kuwa yule aliyekwenda kununua soda, atakaporudi auwawe ili wao wawili waweze kugawana ile mali. Mara tu yule kijana alipowapatia soda, aliuawa. Baada ya kumwua, wakanywa zile soda.

business-men-werewolf

ENGLISH: YOUTH AND THE DEVIL

There were three young people who heard about Satan, and they hated it. They decided to go look for him and kill him. When they arrived, they found him and said, “Today we will kill you.”

“Well, but first let us have some soda.” Let one of you bring us soda.”Before going to buy soda, the devil showed the young people diamond and gold and said, “If you  don’t kill me I will give you this wealth.”

Then a young man went out to buy soda. On the way the young man thought about getting the wealth. He found it necessary to put poison in the soda, so that after they all drink and die, he would be able to possess the diamond and gold. So he did.

In the meanwhile, his colleagues agreed that they should kill the one who went to buy the soda when he returned so that they could share the property. As soon as the boy gave them soda, he was killed. After they killed him, they drank the soda and died too.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.