73. Jigano Sha Shiloti

Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Waliho munhu umo akenhelwa shiloti uwilwa giki, “Yiyi ng’ombe yizaga niyo yiyaho yimaga hisaka.

Shilaka ijo jiliyomba wajigwagwa aliyo u munhu uyo aliyomba alatamonaga. Aha wela, makanza ga diyu bhiza bhanhu aha ng’wakwe wandya kubhasombolela. Wakanoga ubhuka ajile lugendo lwa kulingula migunda.

Aha washika hisaka hihi nikuwa itale lya mondoka wibhona ing’ombe wandya ukubholekeja abhanhu niyo bhukwila no aliyo ukwibhona nduhu. Bhandya kwibhuja, “Ili hali lulumayu?” nang’hwe uyomba yiyo aho.

Bhanhu bhakakwila no, kuhayimanila yudula gari (mondoka) yukila ulonga ulo kubhita ulu ufumile gimagi uliza Ndoleleji. Ng’ombe yeniyo nayo yugogomoka yushika ikuwa lya mondoka yifuka yokala, bhabha yubhi igekemaja na bhanhu bhibhona pye gashi nzoka bhabha.

Bhanhu bhandya kung’wila umpeja wa loli, “Mpandage, mpandage”. Wakiza deleva wihenda uja atagemile kwima nulu hado. Aha wiliga nayo yumola yuja ng’wisaka yukifuka hangi. Bhanhu bhuholeka kuja ho bhakitule b’igaiwa hangi. Lelo uwa shiloti aliyibhona.

Aha lyakula ikanza wiza munhu umo ubhabhuja, “Kinehe, mulitaki ahenaha?” bhuyomba, “Yadijimijaga nzoka ahenaha isaka ili”. Ngosha ng’wenuyo ulola wibhona na bhangi bhibhona pye yutulwa yucha.
Ndoto ya kweli.

Kiswahili: Hadhithi Ya Ndoto

Alikuwepo mtu mmoja aliyeletewa ndoto akiambiwa hivi, “Huyu ng’ombe amekuja tena huyo amesimama kwenye kichaka.”

Sauti hiyo ilisikika lakini mtu aliyeongea hakuwa anaonkana. Kulipokucha kesho yake asubuhi, walikuja watu nyumbani kwake, akaanza kuwasimulia. Mwishowe alianza safari ya kuangalia mashamba.

Akipofika kwenye kichaka karibu na njia ya gari akamuona yule ng’ombe akaanza kuwaonesha watu tena, watu wakawa wengi mno, lakini wale watu wakawa hawamuoni. Wakaanza kuuliza, “Yuko wapi basi mama?” Naye alisema huyo hapo.

Watu wakawa wengi mno. Kushitukia likaja gari likavuka kolongo lile la kuvuka ukiwa unatoka Gimagi, kuja Ndoleleji. Ng’ombe huyo naye akainuka akija akiwa kwenye njia ya gari akaja kujimwaga akajaa. Basi, akawa ametulia na watu wakamuona wote. Kumbe ni nyoka.

Watu wakaanza kumwambia dreva wa gari, “Mkanyage, mkanyage.” Alipokuja dreva akapisha akaenda hakujaribu kusimama hata kidogo. Alipokwepa naye akaenda kwenye kichaka akajimwaga tena. Watu wakajaa kwenda hapo kumpiga wakamkosa tena. Lakini yule wa ndoto alikuwa anamuona.

Ulipopita muda akaja mtu mmoja akawaambia, “Vipi, mnafanya nini hapa?” Wakasema, “Nyoka ametupotea hapa kwenye kichaka hiki.”  Mwanaume huyo, akaangalia akamuona na wengine wakamuona wote, wakampigwa akafa.

Ndoto ya kweli.

cattle-1

ENGLISH: A DREAM LEGEND

There was a woman who had dreamed and told that, “This cow has come back. See it in the bush.”

The voice was heard but the person who spoke was not seen. When it was morning, the people came to his house, and he began to tell them. Finally she began a tour in the fields.

When he got to the bush next to the car way and she saw a cow. She started to show the people.Those people came in multitudes. But they  did not see the cow. And they began to ask, “Madam,where it is then?” She said ‘It is there.’

More and more people came. It happened that the car crossed that valley from Gimagi, coming to Ndoleleji. The cow also came up and moved towards the car. It came so close that it could stop the car. The cow was silent.All the people saw it. Oh!It is a snake.

Then the people began to tell the driver of the car, “Crush it, crush it.” But the driver avoided it. He did not stop at all. When the driver avoided it, the snake went into the bush. The people wanted to beat it again. They could not see it. But the dreamer saw it.

After a while, someone came to them and said, “Well, what are you doing here?” They said, “The snake has just disappeared from from us here in this bush.” The man, looked and saw it.When the man saw it, others also saw it.Then they beat it to death.

That was a true dream.

 

One comment

  1. Wow, superb weblog format! How lengthy have you ever been running a blog for? you made running a blog look easy. The total look of your web site is wonderful, as neatly as the content material!

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.