74. Jigano Ja Ngosha Nfula

Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Kale ya kale waliho ngosha umo. Ngosha ng’wenuyo wali na kaya nhale gete niyo yalinfula no. Aha kiya ya numba jakwe waliwasimba choo. Choo yeniyo yali yokala, niyo hangi lidugu Iyaho yalilyagwa yushikila shenisho duhu.

Ngosha ng’wenuyo aha wabhona giki Choo yakwe yasaga giko, akasola madete ubheja lwigi wikumbija. Wakamala kwita giko ubhigisha ha shikome abhana bhakwe ubhawila giki.

“Bhana bhane, yaya ukwigusija aha lichoo lyenilo, mukugwila”. Bhayanda bhuhaya, “Twigwaga bhabha”. Sha lushiku lumo, abhana bhakwe abhaniginigi bhandya kwigusha bhalitula mpila.

Aha gwatulwa umpila umo wabho gumita, aliyo gulolile uko ili ichoo. Nanghwe upela alimubhuyegi walishinya. Na oli atilalangijaga. Wakisanga alipanda ili lwigi lyenilo likundika ugwila ulibhila. Aha wagwila kasumba kamo kupela kuja mukaya kung’wila uninago.

Ngikulu aho wigwa giko, ufuma alilila kwiza halichoo. Ugasanga mashi agufudilaga kiti ludefu lwa milaga munhu. Wandya kulila, bhanhub’iza bhokala pa, aliyo bhuli ng’wene ulu aliza wakumya no yiii!. Aliyo gwa kwita nduhu.

Bhanhu bhakokala no. Wakanoga wiza nkuluye lya nsumba uyo wagwilaga mu mashi ubhuja, “Ahenaha kinehe nayi?” Bhung’wila, “Nzunayo wagwilaga mu choo”.

Aho wigwa giko ulomba Iuguta. Uzula pye imyenda imisoga usaja ja mugati, witunga luguta munkimbili. Ubhawila, “Ludimagi ulugoye naje nanjile unyanda, ulu numona nakusunga nkono, ulu mugubhona mudute lugoye.

Nyanda ng’wenuyo wiponeja mugati ya Choo, ikanza lidakulile ukabhona akazunaye ukatula hibhega usunga unkono. Aho bhamona bhuduta kihamo ufuma, aliyo wajimaga mashi kibhi no.

Nyanda ng’wenuyo ukapyagula ukumiso, bhanhu bhenha minzi ukalaba. Na kayanda bhukoja. Aha lyakula ikanza kufulwa mbeho kandya gweshema.

Nkulu wago woga uzwala myenda misoga, ukabhucha akazunaye ukachala kaya, ukagalaja ha mbeho ha linti, kufulwa mbeho kuluja kubhiza gapanga.

Kiswahili: Hadithi Ya Mwanamume Mkarimu

Zamani za kale alikuwepo Mwanamume mmoja. Mwanamume huyo alikuwa na familia kubwa kweli na ilikuwa karimu sana. Mashariki ya nyumba yake walikuwa wamechimba choo. Choo hicho kilikuwa imejaa. Tena ukuta wake ulikuwa umeanguka mpaka chini.

Mwanamume huyo alipoona kwamba choo yake imebaki hivyo, alichukua matete akatengeneza kimlango akaifunika. Alipomaliza kufanya hivyo, aliwakalisha kitako watoto wake akawaambia hivi.

“Watoto wangu, msichezee kwenye choo hicho mtatumbukia.” Wavulana walisema, “Tumesikia baba.” Siku moja, watoto wake wadogo walianza kucheza wakipiga mpira.

Ulipopigwa huo mpira wao ukapita, ukielekea kule iliko ile choo. Naye kijana alikimbilia huko akiwa katika furaha ya kucheza. Hakuwa na uangalifu. Alijikuta akikanyaga ule mlango ukajifunika akaangukia na kudidimia. Alipotumbukia, kijana kamoja alikimbia kwenda nyumbani kumwambia mama yake.

Bibi kizee aliposikia hivyo, alitoka akilia kuja kule iliko choo. Akakuta kinyesi kimekuwa kama matope yenye kina kilefu. Akaanza kulia, watu wakaja wakafulika hapo, lakini kila mmoja wao alipofika alishangaa tu yiii! Bila kuwa na la kufanya.

Watu walijaa mno. Mwishowe alikuja kaka yake yule kijana aliyetumbukia humo kwenye kinyesi, akauliza, “Hapa vipi?” Wakamwambia, “Mdogo wako ametumbukia chooni.”

Aliposikia hivyo, aliomba kamba ndefu. Akavua nguo zote zilizokuwa nzuri, akabakiza za ndani. Kijana akajifunga ile kamba kiunoni. Akawaambia, “Shikilieni kamba hii, niende nimfuate kijana, nikimuona nitainua mkono. Mkiuona mvute kamba.

Mvulana huyo alijitupa ndani ya choo. Haukupita muda akamuona mdogo wake akamuweka begani akainua mkono. Walipouona walivuta ile kamba kwa pamoja akatoka, lakini wamelowana kinyesi vibaya.

Mvulana huyo, alimpangusa mdogo wake machoni, watu wakaleta maji wakanawa. Na kijana wakamwosha. Ulipopita muda akapulizwa upepo akaanza kupumua.

Kaka wa hako kijana, akaoga, akavaa nguo nzuri, akambeba mdogo wake na kumpeleka nyumbani. Akamlaza kwenye kivuli cha mti. Akapulizwa baridi akapata nafuu, akawa kazima.

English: The Story Of  A Kind Man

 

4 comments

  1. What’s up,I check your new stuff named “Jigano Ja Ngosha Nfula | Sukuma Legacy Project” regularly.Your writing style is awesome, keep doing what you’re doing! And you can look our website about proxy server list.

    Like

  2. Nice weblog here! Also your web site a lot up fast! What host are you using? Can I am getting your associate link for your host? I wish my web site loaded up as fast as yours lol

    Like

  3. Wow, incredible weblog layout! How long have you been running a blog for? you made running a blog glance easy. The entire glance of your web site is great, as neatly as the content material!

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.