962. UNENE MAYU YAB’ILUNILEMELA.

Akahayile kenako, kahoyelile bhulemelwa bho gutumama nimo bho ng’wa munhu uyo omala nguzu. Umunhu ng’wunuyo alina nguzu ja gutumama milimo mingi aho oli atali ndoo. I haha jashilile nguzu jinijo kunguno ya bhukuji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “unene mayu yab’ilunilemela.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo wambilijaga bhanhu bhingi aho olinsab’i, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, ojitumilaga isabho jakwe bho gubhambilija abhanhu abho bhali na makoye, guti bhanamhala na bhagikulu, kunguno bhadinajo nguzu ya gubhapandikalila ijiliwa jabho. Uweyi wikalaga na bhanhu bhingi abho obhambilijaga mpaga jushila isabho jakwe jinijo, kunguno ya bhutogwa bhokwe ubho oli nabho ukubhiye, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo otumamaga milimo mingi aho alina nguzu, kunguno nuweyi obhambilijaga bhanhu bhingi aho alinajo isabho, mpaga jushila nose, umukikalile kakwe. Uweyi obhalangaga abhanhu abho bhali na sabho gujitumila isabho jinijo bho gubhambilija abhichabho, kunguno uweyi amala inguzu ja gwendelea guyitumama imilimo yiniyo. Hunagwene agayombaga giki, “unene mayu yab’ilunilemela.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kujitumila inguzu ni sabho jabho bho gubhambilija abhakuji, na bhichabho abho bhali na makoye, kugiki bhadule gugamala wangu amakoye genayo, umuwikaji bhobho.

Yshua Bin Sira 3:1-9.

Waefeso 6:1-2.

KISWAHILI: MIMI MAMA IMEANZA KUNISHINDA.

Msemo huo, huongelea juu ya kushindwa kufanya kazi kwa mtu aliyeishiwa nguvu alizozitumia kuzitekelezea kazi hizo. Mtu huyo, alikuwa na nguvu za kufanya kazi nyingi alipokuwa kijana. Yeye hawezi kuzifanya Kazi hizo sasa kwa sababu ameishiwa nguvu baada ya kufikia umri wa uzee. Ndiyo maana husema kwamba, “mimi mama imeanza kunishinda.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye aliwasaidia watu wengi alipokuwa tajiri, katika maisha yake. Mtu huyo, alitumia mali yake kwa kuwasaidia wazee na wengine waliokuwa na matatizo, kwa sababu ya kuwajali watu wake kiasi cha kutosha kuwapatia chakula. Yeye aliishi na watu wengi hadi akazimaliza mali zake hizo, kwa sababu ya upendo alio nao kwa wenzake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyefanya kazi nyingi alipokuwa na nguvu, kwa sababu naye aliwasaidia watu wengi alipokuwa tajiri, katika maisha yake. Yeye huwafundisha watu walio na mali juu ya kuwasaidia wenzao, kwa sababu yeye ameishiwa uwezo wa kuzifanya kazi hizo. Ndiyo maana huwaambia watu kwamba, “mimi mama imeanza kunishinda.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzitumia mali na nguvu zao kwa kuwasaidia wazee na wenzao walioko kwenye mazingila magumu, ili waweze kuyamaliza haraka matatizo hayo, maishani mwao.

Yshua Bin Sira 3:1-9.

Waefeso 6:1-2.

woman-111

african-old

ENGLISH: WORKS HAVE BEGUN TO OVERWHELM ME MOTHER.

The above saying refers to the inability of a person to do the works which he used to before because of growing old. This person had mush energy enough perform many of those tasks when he was still young. He is now powerless to do those tasks because of losing his strength after reaching old age. That is why he says, “Works have begun to overwhelm me mother.”

This saying is compared to the man who helped many people when he was rich, in his life. This man spent his resources for supporting the elderly and others who were in need, out of concern for his people. He lived with many people in his family until he finished his possessions, because of the love he had for his family members.

This man is like the man who worked hard when he was strong, because he also helped many people when he was rich, in his life. He teaches rich people on how to help others out of love. Nonetheless, he has lost the ability to do those things. That is why he tells people that, “Works have begun to overwhelm me mother.”

This saying teaches people on how to use their wealth and power by helping the elderly and others who are in difficult situations, so that they can quickly solve their problems in lives.

Joshua Bin Sirach 3: 1-9.

Ephesians 6: 1-2.

portrait-of-a-black-man-

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.