961. LIB’ULEKWA NUMA.

Bhalihoyi bhanhu bhadatu abho bhajaga gujusola minyembe. Abhabhili bhatongela ugushiga aha ilinti linilo ilya minyembe, bhugayitona pye iminyembe. Ogiza uo kadatu usanga yashilaga iminyembe yiniyo. Hunagwene umunhu ng’winuyo, agayomba giki oigayiwa iminyembe yiniyo kunguno ya “lib’ulekwa numa.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alimpina, umukikalile kakwe. Umpina ng’winuyo agagayiyagwa ung’wambilija okwe kunguno ya kuzumalikilwa na bhabyaji bhakwe. Uweyi agakoyaga na makoye gakwe bhung’wene kunguno ya kuchilwa na bhatale bhakwe bhenabho, na ulekwa bho nduhu uogungunana ugugamala wangu amakoye gakwe genayo.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ngayiwa o minyembe uyo agasanga yamalagwa na bhiye, kunguno nu weyi agagayiyagwa ung’wambilija okwe, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, adina ng’wambilija kunguno ya “lib’ulekwa numa.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gunzunya Mulungu na kuyibokela iyo agabhitilaga, kugiki bhadule gwiyambilija chiza, umumakoye ga guchilwa na bhatale bhabho, umuwikaji bhobho.

1Wakorintho 15:23-24.

1Wathesalonike 4:13-18.

KISWAHILI: LI KUACHWA NYUMA.

Walikuwepo watu watatu waliokuwa wakienda kuchuma maembe. Wawili kati yao, walitangulia kufika kwenye mti wa maembe hayo, wakayachuma yale maembe yote. Alipofika yule wa tatu alikosa maembe kwa sababu wenzake waliyachuma yote. Ndiyo maana alisema kwamba, alikosa maembe hayo kwa sababu ya “li kuachwa nyuma.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni yatima, katika maisha yake. Mtu huyo, hukosa mtu wa kumsaidia katika kutatua matatizo yake kwa sababu ya kufariki kwa wazazi wake. Yeye huhangaika na matatizo yake peke yake, kwa sababu ya kuachwa na wakubwa wake hao, bila mtu wa kumsaidia katika kuyamaliza haraka matatizo yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule mkosa maembe aliyekuta wenzake wameyamaliza, kwa sababu naye hukosa mtu wa kumsaidia katika kuyamaliza haraka matatizo yake, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, amekosa wa kumsaidia kutatua matatizo yake kwa sababu ya “kuachwa nyuma.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kumwamini Mungu na kuyapokea mapenzi yake katika maisha yao, ili waweze kusaidiana vizuri, kwenye matatizo ya kuachwa na wakubwa wao, maishani mwao.

1Wakorintho 15:23-24.

1Wathesalonike 4:13-18.

children-21

orphanage-2

ENGLISH: THE BEING LEFT BEHIND.

There were three people who went to pick mangoes. Two of them reached the mango tree picked up all the mangoes and left before the third one had arrived. When the third one reached the tree he missed the mangoes because his colleagues had earned them all. That is why he said that he missed those mangoes because of “the being left behind.”

This saying is compared to the person who is an orphan. This person in turn needs someone to help him/her in solving various hitches because his/her parents passed away. He/she struggles with those difficulties alone, because of being left behind by those parents who could help him/her in working out those problems in life.

This person resembles the third man who missed the mangoes after his colleagues had finished all of them, because he also lacks someone who could help him/her enough to quickly solve his/her problems in life. That is why he/she says that he/she has no one to help him/her in solving problems because of “the being left behind.”

This saying imparts in people a clue on believing in God by accepting His will in their lives, so that they can help each other better in working out various problems including that of passing away of their loved ones.

1Corinthians 15: 23-24.

1Thessalonians 4: 13-18.

child21

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.