960. KALAGU – KIZE. IJI ULIJIPONYA AKOYI MBOTO – KAGI.

Ikalagu yinino, ihoyelile kikalile ka Ngi. Ingi ilisumbwa iyo idina solwe kunguno idachagulile ijiliwe jayo. Iyoyi pye iji yusanga nulu jibhize jibhi iyoyi igubhona guti mboto duhu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “iji ulijiponya akoyi mboto – kagi.”

Ikalagu yiniyo, ikalenganijiyagwa kuli munhu uyo adina solwe ukumukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga pye bhuli kwene alihoyi umuyawiza na muyabhi, kunguno ya bhugayiwa bho solwe bhokwe bhunubho. Uweyi agayikenagulaga ikaya yakwe kunguno ya gwita yabhi yiniyo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni ngi iyo igalyaga ni jibhi, kunguno nu weyi agitaga ni yabhubhi yiniyo, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki “iji ulijiponya akoyi mboto – kagi.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya guchagula kikalile ka gwita mihayo ya wiza, na guyileka iyabhubhi umukikalile kabho, kugiki bhadule gujilela chiza, ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Kumbukumbu la Torati 30:15-17.

Ufunuo 3:14-17.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

UTAKACHOKITUPA KWAKE NI CHAKULA – INZI.

Kitendawili hicho huongelea juu ya maisha ya Inzi. Inzi ni kiumbe ambacho hakibagui chakula kwa sababu ya kula chochote kile, kiwe kibaya au kizuri. Mdudu huyo, hata kile kilicho kibaya kwake huwa chakula chake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “utakachokitupa kwake ni chakula – Inzi.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye habagui kitu katika maisha yake. Mtu huyo, huishi kwenye hali zote za kutemba wema na ubaya, kwa sababu ya kujichanganya kwake na ubaya. Yeye huiharibu familia yake kwa sababu ya kutenda uovu huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule Inzi aliyekula hata uchafu, kwa sababu naye hutenda hata uovu, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “utakachokitupa kwake ni chakula – Inzi.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuchagua maisha ya kutenda wema na kuacha uovu, ili waweze kuzilea vizuri familia zao, maishani mwao.

Kumbukumbu la Torati 30:15-17.

Ufunuo 3:14-17.

fly-21

fly-1

fly-11

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.