954. KENAKO KAJINONELEJA NG’HONGE.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile kajinoneleja ng’ombe. Ing’honge kali kajigabho kabhugali ako kagatumilagwa gulija makubhi na bhali bha bhugali bhunubho. Akajinoneleja ng’honge kenako, kali kakumbi kadololo ako kagikilaga na maguta mingi.

Akakumbi kenako, ulu munhu ukabada na gukakalanga kagajifujaga maguta ing’honge ja bhanhu abho bhagalijaga moyi. Hunagwene abhanhu bhagakitanaga giki, “kenako kajinoneleja ng’honge.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu o mili ndololo uyo agatumamaga milimo mitale, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agalimaga mamigunda matale ayo gagabishaga majiliwa mingi, kunguno ya nguzu jakwe na bhukamu bho gutumama milimo yakwe yiniyo. Uweyi, agabhambilijaga bhanhu bhingi umubhutumami bhokwe bhunubho, kunguno ya matwajo mingi ayo gagenhagwa na nguzu za gwigulambija gutumama milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na kajinoneleja ng’ombe ako kali na maguta ga gujifuja ng’honge ja bhali bha bhugali, kunguno nuweyi alina nguzu ja gwambilija bhanhu bhingi, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki “kenako kajinoneleja ng’honge.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka gubhadalaha bhanhu kunguno ya mimili yabho gubhiza midololo, kugiki bhadule gwiyambilija chiza, ugwiyenhela matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Yohane 17:21.

1Petro 4:7-11.

1Wakorintho 1:10.

Waefeso 2:13-14.

KISWAHILI: HAKA NI KAKOLEZA TONGE.

Chanzo cha msemo huo, huongelea kikoleza tonge. Tonge ni kapande cha ugali kinachotumiwa kuchotea mboga na mlaji. Kikoleza tonge ni panzi mwenye umbo dogo ambaye huwa na mafuta mengi sana. Panzi huyo, mtu akimkamata na kumkaanga, mafuta yake huzikoleza tonge za walaji. Ndiyo maana watu hukaita kwamba, “haka ni kakoleza tonge.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu mwenye mwili mdogo ambaye ana nguvu za kufanya kazi kubwa, katika maisha yake. Mtu huyo, hulima mashamba makubwa ya mazao mbali mbali ambayo humpatia mavuno mengi, kwa sababu ya nguvu zake hizo na bidii yake hiyo ya kufanya kazi. Yeye huwasaidia watu wengi, katika kazi zake hizo, kwa sababu ya mavuno mengi yanayoletwa na nguvu zake hizo za kujibidisha kufanya kazi, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule panzi mwenye mafuta ya kukoleza tonge za walaji, kwa sababu naye ana nguvu za kujitapatia maendeleo yanayosaidia watu wengi, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita kwamba, “haka ni kakoleza tonge.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia za kuwadharau watu kwa sababu ya miili yao kuwa midogo, ili waweze kusaidiana vizuri katika kijiletea maendeleo, maishani mwao.

Yohane 17:21.

1Petro 4:7-11.

1Wakorintho 1:10.

Waefeso 2:13-14.

african-child-1

ENGLISH: THIS IS SOMETHING THAT MAKES A LUMP OF UGALI SWEET.

The above saying speaks of a sweet taste giver to a lump of ugali. This lump of Ugali is a piece of porridge which is used to pick vegetables from a container by eaters.

The taste giver is a small grasshopper that has a lot of fat enough to make the eater enjoy eating their food. That is why people call it that, “this is something that makes a lump of ugali sweet.”

This saying is likened to a man with small body who has the power to do great work, in his life. This man cultivates large fields of various crops that give him a good harvest, because of his strength and hard work. He helps many people, in his work, because of the great harvest that comes with his hard work, in life.

This man is like the grasshopper that has the ability to absorb the saliva of the consumer, because he also has the power to make progress in helping people, in his life. That is why people call him, “this is something that makes a lump of ugali sweet.”

This saying teaches people on how to stop the habit of despising people because of their small bodies, so that they can nicely help each other in the developmental process, in their lives.

John 17:21.

1 Peter 4: 7-11.

1 Corinthians 1:10.

Ephesians 2: 13-14.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.