943. NINALYO ILIB’ANGILO.

Akahayile kenako, kalolile ginhu ijo jidulile gunhanghana munhu uyo ajisanije, umukikalile kakwe. Iginhu jinijo jigang’winhaga nguzu uyo alijo. Hunagwene agayombaga giki, “ninalyo ilib’angilo.”

Akahahile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalanghanagwa na Mulungu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’winuyo, agatumamaga milimo yakwe bho gung’wisanya Mulungu kunguno uweyhi huyo alina nguzu kulebha pye abhanhu. Uweyi agapandikaga matwajo mingi umumilimo yakwe, kunguno ya mbango ijo aginhagwa na Mulungu, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo oliwisanya ginhu ja nguzu, kunguno nuweyi ang’wisanije Mulungu uyo alina nguzu gukila pye abhanhu, ijo jigananghanaga, umukikalile kakwe. Hunagwene agayombaga giki, “nali nalyo ilib’angilo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kunzunya na gung’wisanya Mulungu umubhutumami bhobho, kugiki bhadule gupandika mbango ja gubhiza na matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Zaburi 61:2-4.

Zaburi 66:5-9.

Mathayo 14:34-38.

Mathayo 11:27-30.

KISWAHILI: NINAYO KINGA.

Msemo huo, huangalia kitu kinachoweza kumlinda mtu anayekitegemea, katika maisha yake. Kitu hicho, humpatia nguvu aliye nacho. Ndiyo maana mtu huyo, husema kwamba, “ninayo kinga.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule anayelindwa na Mungu, katika maisha yake. Mtu huyo, huyatekeleza majukumu yake kwa kumtegemea Mungu, kwa sababu huyo ndiyo mwenye uwezo mkubwa kupita watu wote. Yeye hupata maendeleo mengi katika kazi zake, kwa sababu ya Baraka anazopewa na Mungu, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyetegemea kitu chenye nguzu, kwa sababu naye humtegemea Mungu aliye na uwezo wa kuwapita watu wote, ambao humlinda katika maisha yake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “ninayo kinga.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kumwamini Mungu na kumtegemea Yeye katika kazi zao, ili waweze kupata Baraka za kuwa na mafanikio mengi, maishani mwao.

Zaburi 61:2-4.

Zaburi 66:5-9.

Mathayo 14:34-38.

Mathayo 11:27-30.

worship-

ENGLISH: I HAVE A PROTECTION.

The overhead saying looks at something that can protect a person who depends on it, in life. This protection gives the power to him which he believes to have. That is why this person says that, “I have a protection.”

This saying is equaled to the person who is protected by God, in his life. This person, in turn, fulfills his role by relying on God, who is is the most powerful one in the universe. He makes great progresses in his works by giving thanks to the blessings of God which have been to him, in his life.

This person resembles the one who relies on something supernatural, because he also relies on God who is able to transcend all human beings by protecting him in his life. That is why he says that, “I have a protection.”

This saying imparts in people an idea of believing in God and relying on Him in their works, so that they can receive blessings of being very successful in their lives.

Psalm 61: 2-4.

Psalm 66: 5-9.

Matthew 14: 34-38.

Matthew 11: 27-30.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.