944. IB’I LYANE.

Akahayile kenako, kahoyelile bhub’i bho ng’wa munhu. Olihoyi munhu uyo oliob’yala ng’wana olihanga lib’i. Abhanhu bhali bhadantogagwa ung’wana ng’wunuyo, kunguno ya lihanga lyakwe linilo. Aliyo lulu, umyaji okwe wikalaga nang’hwe duhu. Hunagwene uweyi agayomba giki, “ib’i lyane.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabokelaga iyo igenhagwa kuli weyi na Mulungu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, alina guzunya kutale ukuli Mulungu okwe, kunguno abhudebhile chiza ubhudula bhokwe ubho bhukililile pye ubho bhanhu. Uweyi agambilijiyagwa na Mulungu umumilimo yakwe kunguno ya guzunya gokwe gunuyo ukuli weyi, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu myaji o ng’wana wi hanga lib’i uyo agambokela ung’wana okwe ahakaya yakwe, kunguno nu weyi agabokelaga chiza iyo agitilagwa nu Mulungu, umukikalile kakwe. Hunagwene agayombaga giki, “ib’i lyane.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gub’iza na guzunya gutale ukuli Mulungu bho gujibokela chiza ijo abhabhinhaga, kugiki bhadule gupandika mbango ja gub’iza na matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 2: 22-24.

I Wakorintho 7:1-16.

Waefeso 6:1-4.

Mithali 4:1-10.

KISWAHILI: BAYA LANGU.

Msemo huyo, huongelea ubaya wa mtu. Alikuwepo mtu aliyezaa mtoto mwenye sura mbaya. Watu hawakumpenda mtoto wake huyo kutokana na muonekano wake huo mbaya. Lakini mzaji wake huyo, aliishi naye kama kawaida. Ndiyo maana alisema kwamba ni “baya langu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule apokeaye mapenzi ya Mungu katika maisha yake. Mtu huyo, ana imani kubwa kwa Mungu wake kwa sababu anaufahamu uwezo wake unaopita ule wa wanadamu wote. Yeye hupata msaada kutoka kwa Mungu katika utekelezaji wa majukumu yake, kwa sababu ya imani yake hiyo kubwa kwake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mzazi aliyekubali kuishi na mtoto wake mwenye sura mbaya, kwa sababu naye pia huyapokea vizuri mapenzi ya Mungu, katika maisha yake. Ndiyo maana yeye husema kwamba ni ‘baya langu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na imani kubwa kwa Mungu kwa kuyapokea mapenzi yake kwao, ili waweze kupata Baraka za kuwaletea mafanikio mengi, maishani mwao.

Mwanzo 2: 22-24.

I Wakorintho 7:1-16.

Waefeso 6:1-4.

Mithali 4:1-10.

lesotho-12

lesotho-11

ENGLISH: MY BAD ONE.

This saying looks at a woman’s wickedness. There was a woman who gave birth to an ugly child. People did not like her baby because of her ugly appearance. But her mother lived with her as usual. That is why she said that she is “my bad one.”

This saying is compared to a person who receives God’s will in his life. This man has great faith in God because he knows his great power which is beyond what is normal. He receives God’s help in carrying out his responsibilities, because of his great faith in Him, in his life.

This man is like the parent who agrees to live with her ugly child, because he also receives the will of God, in his life. He lived with others even the ugly ones. That is why he says that each one is “my bad one.”

This saying teaches people of having great faith in God by accepting His will to them, so that they can receive the blessings of bringing them great success, in their lives.

Genesis 2: 22-24.

I Corinthians 7: 1-16.

Ephesians 6: 1-4.

Proverbs 4: 1-10.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.