212. GULWILA MUFUGO

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile bhanhu abho bhalilya jiliwa guti bhugali. Ubhugali bhugazugilagwa mufugo iyo igatengagwa nabho ukubhanhu abho bhalilya ijiliwa jinijo. Ubhugali bhunubho ulu bhutengwa b’ulingwene ahayile abhahuge ab’iye. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, abhanhu bhenabho bhalilwila mufugo.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kulimunhu uyo alinaku ojiliwa. Umunhu ng’wunuyo agiiganigaka weli ng’winikili duhu, ulu alilya, kugiki abhahuge abhiye. Atogilwe gulila jiliwa kubhiye, aliyo ahakaya yakwe alemile kunguno aling’wimi ng’holo. Adabhakaribhushaga abhiye ahajiliwa jakwe.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kujileka inhungwa ja bhulaku bho jiliwa. Abhanhu bhoye uguimana bhoyi bhinikili duhu ulu bhalilya ijilwa. Yigelelilwe abhanhu bhenabho bhab’ize bhizanholo umujiliwa jabho. Uwizang’holo bhunubho bhugub’ambilija ugubhinha ijiliwa jinijo nabhichibho abho bhalilya nabho.

2 Petro 2:18.

Waroma 1:29.

KISWAHILI: KUGOMBANIA KWENYE CHOMBO CHA KULIA CHAKULA

Chanzo cha methali hiyo huangalia watu wanaokula chakula kama ugali. Ugali hupikiwa kwenye chombo ambacho huwa kinapelekwa pamoja na chakula hicho pale wanapolia watu hao.

Ugali huo ukipelekwa pale wanapolia watu, kila mmoja wao hutaka kuwapunja wenzake kwa kuchukua kiasi kingi kutoka kwenye chombo hicho na kula kwa haraka haraka. Ndiyo maana watu husema kuwa, watu hao wanagombania kwenye chombo cha kulia chakula.

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye ni mlafi wa kula chakula. Mtu huyo hujifikilia yeye mwenyewe tu, wakati akiwa anakula chakula, ili awapunje wenzake. Hupenda kula chakula cha wenzake, lakini kwenye familia yake hataki wengine wale chakula chake, kwa sababu ya uchoyo wake aliyo nao. Huwa hawakaribishi wenzake kwenye chakula chake.

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia za ulafi wa kula chakula. Watu waache kujifikiria wenyewe tu wakati wa kula chakula. Yafaa watu hao wawe wakarimu wa kula chakula chao na wenzao. Ukarimu huo utawasaidia katika kugawana chakula chao vizuri na wenzao wakati wa kula chakula hicho pamoja nao.

2 Petro 2:18.

Waroma 1:29.

toast

 

ENGLISH: TO FIGHT IN THE COOKING POT

The above proverb looks at people who eat food such like ugali. Ugali is normally carried in the same cooking utensil. It is sent in the same utensil for people to eat.

When the cooking pot is sent to the eating place, each one wants to take a big amount of food from the utensil and eats quickly. That is why people say these people are fighting in the cooking pot.

This proverb is used to refer to a person who is a glutton in eating food. This person only thinks about himself while eating food. He/she never thinks of others. He/she likes to eat all the food out of greed.

This proverb teaches people about abandoning bad food habits. People should stop thinking about themselves while eating food. 2 Peter 2:18.

Romans 1:29.

 

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.