93. Mhuge Na Ng’wanongholo

Collected by: Don Sybertz,

With special thanks to Rev Joe Healey  (African proverbs,Sayings and stories)

Lushigu lumo, mhuge yalina na nzala, giko igaja kumongo kugiki ipandikile jagulwa. Aho yashika ukumongo, igansanga ng’wano ngholo aling’wa minzi.

Imhuge yunkanga ung’wano ngholo yuyomba, “Bhebhe! Lekaga ugugayugula a minzi!” Ung’wano ngholo agashosha, “Lekaga ubhubuli bhoko! Nadinayugula minzi, aliyo nu bhebhe huna uliagayugula  aminzi. Umanile gete igiki aminzi gagahumaga gufuma ng’wigulwa umumilima gwiza hasi kunu uko nali unene.”

Ahenaho imhuge igachola wikobhya bhungi, na gunaumu ung’wanongholo, “Aliyo ni bhuli uganidukila unene ing’wakizo?” Ung’wanongholo, agailemeja, “Ala! iki unene ing’wakizo nalinadina bhyalwa! Ninadugijahe ugugudukila?”

“Ulu udanidukilile ubhebhe, bhasi, mumho nu mayu oko onidukila.” Imhuge agakoyakoya. Gashinaga pye iyiniyo yaliyabhulongo, kulwa nguno imhuge aliyiyangula gunya ung’wanongholo uyo. Giko, wangu wangu igang’wikindila ung’wanongholo, yumulaga na gunya.

Ubhulangwa bhoho bhuli giki, gashinaga umuwikaji bho bhuli lushigu, umunhu ulu wiyangula gwita shibhi, agogohaga, bho gufunya jilembekejo kugiki mpaga wiyite du iyo wiyangulaga guyita.

 

Kiswahili: Mbwa-Mwitu Na Mwanakondoo

Siku moja, Mbwa-mwitu alikuwa na njaa, hivyo akaenda mtoni ili kujipatia mlo. Alipofika mtoni, alimkuta Mwanakondoo akinywa maji. Mbwa-mwitu alimshitua Mwanakondoo akasema,  “We! Acha kuyachafua maji!” “Acha upuuzi wako! Sijachafua maji, bali wewe ndiye unayeyachafua maji. Unafahamu fika kwamba maji hutiririka kutoka juu kilimani kuja chini huku niliko mimi.”

Hapo Mbwa-mwitu akatafuta hila nyingine, ya kumlaumu Mwanakondoo,  “Lakini kwa nini ulinitukana mwaka jana?”  Mwanakondoo akakanusha,  “Ala! Mbona mimi mwaka jana nilikuwa sijazaliwa! Ningewezaje kukutukana?”

“Iwapo hukunitukana wewe, basi mama yako alinitukana.”  Mbwa-mwitu alitapatapa. Kumbe, hayo yote yalikuwa madai ya uongo, kwani  Mbwa-mwitu alidhamiria kumla yule Mwanakondoo. Hivyo ghafla akamrukia Mwanakondoo, akamwua na kumla.

Katika maisha ya kila siku, binadamu anapokusudia kutenda maovu anaogopa kwa kutoa visingizio ilimradi atende alichonuia.

stalking

English: The Wolf And The Lamb.
cartoon-

 

ENGLISH: THE WOLF AND THE LAMB.

One day, the wolf was hungry, so it went to the river to get some food. When it got to the river, it found the Lamb drinking water. The wolf struck the Lamb and said, “You! Stop polluting water! ” The lamb replied, “Stop your nonsense! I do not pollute the water, but you are the one who pollute the water. You know that the water flows from the top of the hill to the ground where I am. ”

Then the wolf sought another trick to blame the Lamb, “But why did you insult me last year?” The Lamb denied, “Alas!Last year I was not yet born! How could I insult you?”

“If you didnot insultme, then your mother did.” The wolf screamed. In fact, all of these were false claims, as the wolf intended to eat the Lamb. So, suddenly, the wolf  jumped onto the Lamb, killed it and ate it.

In everyday life, when a person intends to do evil, he hesitates doing directly by giving false accusations in order to ultimately do what he intends.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.