91. Mbehi Umo Uyoagamulaga Nke Okwe

Collected by: Don Sybertz,

With special thanks to Rev Joe Healey  (African proverbs,Sayings and stories)

Aho kale igiza nzala. Nzala yene igamala bhanhu noyi. Namhala umo wali na bhana bhadatu. Aho nzala yanfulamya gete wibhuja giki nabhulaje abhana bhane Sambu! Ugubhulaga umo ku nguno ya gupija abhingi, idigiki hambo hambo namulage  nunke one duhu, nabhapije abhana bhane nangi. Bhadulile gugunana ha ntondo na mazuli (taifa la kesho).

Umulaga unke umaga unzuga uganjinja gwigulilu. Omanunjinja mpaga jegela gushila inyama, unekela ung’wana okwe agujinjaga hoi. Giza mapolisi gugula hoi na gandya gulya, alagenikili galimanita jisoji.

Nose gukaliha amapolisi, guhaya, “ulidutengela ukunu ulilila bhuli?” (kwa nini unatutengea huku ukilia) “Hi! Hii! mguhayaga giki inyama yeniyo yaki, iki nu mayu obhulagilwe nu bhabha giki adizegubhulaja abhana bhakwe aliyo bhadulile gugunana ha ntondo na mazuri.” Amapolisi guhaya giki ojaga he lulu? Wifumilijaga duhu agwiza ni haha guke, gunindila gugigasha ha mhelo hado.

Adadilile wiza, aha wiza amapolisi gumuja, “inyama iyi yaki?” (nyama hii ni ya nyama gani?). Agashosha,  “ya mboku” (pofu). Guhaya, “udinaduwila aliyo uguhaya duhu.” Uding’wa na abhanhu bhukwila nabhabhailyaga inyama yiniyo bhali bhingi hoi, bhalihaya, “nunene nalyaga.” Aho gabhujiwa agana gakwe guhaya, “nu mayu obhulagilwe nu bhabha giki apije abhadododo abhikomile gugunana ha ntondo.”

Uchalwa utungwa, aho kesi yakwe yapunaga guyomva, namhala uhaya giki,  “nagabhona ili hambo hambo gupija abhingi hali nguno aha, abhangi bhatemi, abhangi bhapolisi guti nabha! Na bhangi bhang’walimu bhagudugunana ha ntondo na mazuli.”  Namhala ng’wene uwilwa jaga lulu okanyaga na ng’hana ili solobho nhale ugupija bhingi nulu ugujimija umo ili hambo hambo.

Ubhulangwa bhoho, bhulidizukija umo Yesu agacha ha nsalabha ku nguno ya gudupije bhingi abho dulinzunya. Ili chiza ugunzunya Yesu kulwa nguno hu Ng’wene unpija bhise.

Kiswahili: Jamaa Mmoja Aliyemuua Mke Wake

Hapo zamani ilitokea njaa. Njaa hiyo ilimaliza watu sana. Mzee mmoja alikuwa na watoto watatu. Njaa ilipomchanganya kabisa alijiuliza kwamba, apoteze watoto wake Sambu! Kwa nini asimpoteze mmoja kwa ajili ya kuwaokoa wengi, aliona kwamba ni afadhali amuue mke wake tu, ili kuwaponyesha watoto wake. Hao wanaweza kusaidia hapo kesho na kesho kutwa (ni taifa la kesho).

Akamuua mke wake, akanchuna, akampika na kuanza kuuza nyama yake kwenye mnada. Alikuwa akiuuza mpaka nyama ilikaribia kuisha. Baadae akamwachia mtoto wake auze pale. Wakaja polisi kununua nyama pale na kuanza kula. Lakini kale katoto kake kalikuwa kakilia machozi.

Mwisho Polisi, wakawa wakali wakamuuliza, “kwa nini unatutengea huku ukilia? Mtoto akajibu, “Hi! Hii! Mnafikiri kwamba nyama hii ni ya nini, si ni ya mama ameuawa na baba kwamba wasije wakafa watoto wake kwa vile wao watasaidia hapo kesho na kesho kutwa.”

 Polisi, wakasema kwamba, “ameenda wapi sasa?” Mtoto alijibu, “Ametoka kidogo atarudi sasa hivi tu.” Polisi walikaa pembeni kidogo wakimsubiri.

Hakuchelewa akaja. Alipofika polisi walimuuliza, “Nyama hi ni ya nini?”

Akajibu, “ya Pofu.” Polisi wakasema, “hujatuambia lakini utasema tu.” Akashikwa na watu wakawa wengi na wale walioila ile nyama wakawa wengi hapo, wakisema, “na mimi nimeila.”

Alipoulizwa yule Mtoto wake, akasema, “ni mama ameuliwa na baba ili kwamba aponye wadogo wanaoweza kusaidia hapo kesho.”

Akapelekwa kufungwa. Ilipofika siku ya kesi yake kusomwa, mzee alisema hivi, “niliona ni afadhali kuokoa wengi kwa sababu hapa, wengine ni wafalme, wengine ni mapolisi kama hawa! Na wengine ni walimu watatusaidia hapo kesho na kesho kutwa.” Mzee huyo, aliambiwa “nenda basi ameshinda kesi na kweli ni faida kubwa kuokoa wengi hata kama utapoteza mmoja ni afadhali.”

Fundisho lake, linakumbusha jinsi Yesu alivyokufa msalabani kwa sababu ya kutukomboa wengi tunaomwamini. Ni vizuri kumwamini Yesu kwa sababu Yeye ndiye Mkombozi wetu.

woman-man

English: A Gentleman Who Killed His Wife

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.