Sukuma Sayings

954. KENAKO KAJINONELEJA NG’HONGE.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile kajinoneleja ng’ombe. Ing’honge kali kajigabho kabhugali ako kagatumilagwa gulija makubhi na bhali bha bhugali bhunubho. Akajinoneleja ng’honge kenako, kali kakumbi kadololo ako kagikilaga na maguta mingi.

Akakumbi kenako, ulu munhu ukabada na gukakalanga kagajifujaga maguta ing’honge ja bhanhu abho bhagalijaga moyi. Hunagwene abhanhu bhagakitanaga giki, “kenako kajinoneleja ng’honge.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu o mili ndololo uyo agatumamaga milimo mitale, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agalimaga mamigunda matale ayo gagabishaga majiliwa mingi, kunguno ya nguzu jakwe na bhukamu bho gutumama milimo yakwe yiniyo. Uweyi, agabhambilijaga bhanhu bhingi umubhutumami bhokwe bhunubho, kunguno ya matwajo mingi ayo gagenhagwa na nguzu za gwigulambija gutumama milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na kajinoneleja ng’ombe ako kali na maguta ga gujifuja ng’honge ja bhali bha bhugali, kunguno nuweyi alina nguzu ja gwambilija bhanhu bhingi, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki “kenako kajinoneleja ng’honge.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka gubhadalaha bhanhu kunguno ya mimili yabho gubhiza midololo, kugiki bhadule gwiyambilija chiza, ugwiyenhela matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Yohane 17:21.

1Petro 4:7-11.

1Wakorintho 1:10.

Waefeso 2:13-14.

KISWAHILI: HAKA NI KAKOLEZA TONGE.

Chanzo cha msemo huo, huongelea kikoleza tonge. Tonge ni kapande cha ugali kinachotumiwa kuchotea mboga na mlaji. Kikoleza tonge ni panzi mwenye umbo dogo ambaye huwa na mafuta mengi sana. Panzi huyo, mtu akimkamata na kumkaanga, mafuta yake huzikoleza tonge za walaji. Ndiyo maana watu hukaita kwamba, “haka ni kakoleza tonge.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu mwenye mwili mdogo ambaye ana nguvu za kufanya kazi kubwa, katika maisha yake. Mtu huyo, hulima mashamba makubwa ya mazao mbali mbali ambayo humpatia mavuno mengi, kwa sababu ya nguvu zake hizo na bidii yake hiyo ya kufanya kazi. Yeye huwasaidia watu wengi, katika kazi zake hizo, kwa sababu ya mavuno mengi yanayoletwa na nguvu zake hizo za kujibidisha kufanya kazi, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule panzi mwenye mafuta ya kukoleza tonge za walaji, kwa sababu naye ana nguvu za kujitapatia maendeleo yanayosaidia watu wengi, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita kwamba, “haka ni kakoleza tonge.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia za kuwadharau watu kwa sababu ya miili yao kuwa midogo, ili waweze kusaidiana vizuri katika kijiletea maendeleo, maishani mwao.

Yohane 17:21.

1Petro 4:7-11.

1Wakorintho 1:10.

Waefeso 2:13-14.

african-child-1

ENGLISH: THIS IS SOMETHING THAT MAKES A LUMP OF UGALI SWEET.

The above saying speaks of a sweet taste giver to a lump of ugali. This lump of Ugali is a piece of porridge which is used to pick vegetables from a container by eaters.

The taste giver is a small grasshopper that has a lot of fat enough to make the eater enjoy eating their food. That is why people call it that, “this is something that makes a lump of ugali sweet.”

This saying is likened to a man with small body who has the power to do great work, in his life. This man cultivates large fields of various crops that give him a good harvest, because of his strength and hard work. He helps many people, in his work, because of the great harvest that comes with his hard work, in life.

This man is like the grasshopper that has the ability to absorb the saliva of the consumer, because he also has the power to make progress in helping people, in his life. That is why people call him, “this is something that makes a lump of ugali sweet.”

This saying teaches people on how to stop the habit of despising people because of their small bodies, so that they can nicely help each other in the developmental process, in their lives.

John 17:21.

1 Peter 4: 7-11.

1 Corinthians 1:10.

Ephesians 2: 13-14.

952. B’UDAZUGILAGWA KAB’ILI.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile bhuzugi bho bhugali. Ubhugali bhunubho, jili jiliwa ijo jigazugwa bho gutumila nungu, nulu sufulila iyo igaditilagwa mingi gapembelwa mpaga gasib’uka na bhoditilwa ubhusu. Ubhoyi bhugazugagwa bho gutumila ndinho uyo gugagagulanyaga amingi nu bhusu bhunubho, mpaga wibhilinga na gubhiza bhudimu, ubho bhugitanagwa bhugali. Ulu bhupya ubhugali bhunubho, bhudashogelagwa hangi uguzugwa. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “b’udazugilagwa kab’ili.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kubhalimu abho bhagapandika jiliwa jigehu iji jigalimaga lukangala lumo bhuli ng’waka. Abhalimi bhenabho, ulu giki ng’waka gub’iza go nhela bhagayombaga giko, “b’udazugilagwa kab’ili”, kunguno bhadadulile ugugushosha numa ung’waka uyo gobhitaga gunuyo. Abhoyi bhagisagilwa gulima hangi ukung’waka uyo guliza, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Abhalimu bhenabho, b’agikolaga na bhazugi abho bhadadulile ugub’uzuka kabhili ubhugali ubho bhozugagwa, kunguno na bhoyi badadulile ugugushosha numa ung’waka uyo gobhitaga. Ugoyi ulu gubhita na gobhitaga duhu. Hunagwene abhanhu bhenabho ulu bhakela bhagayombaga giki, “bhudazugilagwa kab’ili.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kubhiza na wisagilwa bho gwikomeja gutumama milimo yabho, ulu bhagapandikaga jigehu, umubhutumami bhobho, kugiki bhadule kupandika sabho ningi, umuwikaji bhobho.

Mathayo 11:28-29.

1Wakorintho 10:13.

Zaburi 55:23.

KISWAHILI: HAUPIKIWI MARA MBILI.

Chanzo bha msemo huo, huangalia upikaji wa ugali. Ugali huo, ni chakula ambacho hupikwa kwa kutumia chungu au sufulia ambayo huwekewa maji yanayopata moto mpaga yakachemuka ndipo unga unatiwa ndani yake. Wenyewe hupikwa kwa kutumia mwiko ambao huyachanganya hayo maji na ule unga mpaga kinatokea kitu kigumu kinachoitwa ugali. Ugali huo, ukiiva huwa haurudiwi kupikwa tena. Ndiyo maana watu husema kwamba, “haupikiwi mara mbili.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa wakulima wale wanaopata chakula kidogo ambacho hulimwa mara moja tu kwa mwaka. Wakulima hao, wakishindwa kupata chakula chakutosha mwaka fulani, hujipa matumaini kwa kutumia msemo huo kwamba, “haupikiwi mara mbili,” kwa sababu hawawezi kuurudisha nyuma mwaka uliokwisha kupita. Wao hujipa matumaini ya kulima tena mwaka unaofuata, ili waweze kupata bahati ya kupata mavuno mengi, maishani mwao.

Wakulimwa hao, hufanana na wale walionshindwa kuupika mara ya pili ugali ulioiva tayari, kwa sababu nao hawawezi kuurudisha nyuma mwaka ule uliopita wakapata chakula kidogo. Ndiyo maana wao husema kwamba, “haupikiwi mara mbili.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na matumaini ya kujibidisha kufanya kazi pale wanapotapa mafanikio kidogo katika kazi zao, ili waweze kupata mali nyingi, maishani mwao.

Mathayo 11:28-29.

1Wakorintho 10:13.

Zaburi 55:23.

kitchen-1

african-girl-

 

ENGLISH: IT IS NEVER COOKED TWICE.

This overhead saying looks at the cooking of stiff porridge. This porridge is a food that is cooked in a pot or saucepan in which water is heated until it boils and the flour is put into it. They themselves are cooked using a cooking stick that mixes the water with the flour and then a hard figure is formed which is called hard porridge. When this porridge is ripe, is not cooked again. That is why people say that, “It is never cooked twice.”

This saying is compared to the farmers who get little food that is grown only once a year. These farmers, sometimes become unable to get enough food for a year. They give themselves hope by saying that, “it is not cooked twice,” because they cannot go back to the previous year. They give themselves hope of plowing again in the following year, so that they may have the good fortune enough to reap bountifully, in their lifetime.

These farmers are like cook who failed to cook the ripe porridge a second time, because they also cannot return back the past year enough to get another food. That is why they say that, “It is never cooked twice.”

This saying teaches people on how to be optimistic by carrying on to work hard when they find little success in their work, so that they can get more wealth, in their lives.

Matthew 11: 28-29.

1 Corinthians 10:13.

Psalm 55:23.

food--1

951. BHANHU BUHIMILA DULI NDIMI NA NHAMBU NSOGA.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile bhanhu bhabhili abho bhali bhanwanile. Uumo obho witanagwa Buhimila. Abhanhu bhenabho, bhali bhidebhile akilomelele kabho. Abhoyi bhikomelejaga gwikala na nhungwa ja wiza shigu jose. Hunagwene ung’wiye agayomba giki, “bhanhu Buhimila duli ndimi na nhambu nsoga.”

Akahahile kenako, kagalenganijiyagwa kubhanhu bha kaya iyo ili ni lange isoga, umukikalile kayo. Abhanhu bha hakaya yiniyo, bhagilangaga gwikala na witogwi ubho bhugabhambilijaga gutumama milimo yabho bho mholele. Abhoyi bhagapandikaga sabho ningi umumilimo yabho kunguno ya lilange lyabho ilya wiza linilo, umuwikaji bhobho.

Abhanhu bhenabho, bhagikolaga na bhanwani abhabhili abho bhikomelejaga gwikala na nhungwa ja wiza, kunguno nabho bhagilangaga ilange lwa gwitogwa na bhanhu chiza na gutumama milimo yabho, bho bhukamu bhutale, umukikalile kakwe. Abhoyi bhagabhalanga abhanhu bhabho higulya ya gubhiza na nhungwa ja gwikala na bhanhu chiza. Hunagwene bhayayombaga giki, “bhanhu Buhimila duli ndimi na nhambu nsoga.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kubhiza na bhunwani bho gwilanga nhungwa ja wiza, kugiki bhadule gwikala na bhanhu bho mholele, umuwikaji bhobho.

Mithali 15:4.

Zaburi 34:13.

Marko 10:7-9.

Waefeso 5:25.

1 Yohana 4:20.

KISWAHILI: WATU BUHIMILA TU ULIMI NA MAONGEZI MAZURI.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia watu wawili waliokuwa marafiki. Mmoja wao aliitwa Buhimila. Watu hao, walielewana katika maongezi yao. Wao walihimizana kuishi katika tabia njema za kuwawezesha kuishi na watu vizuri siku zote. Ndiyo maana mmoja wao alisema, “watu Buhimila tu ulimi na maongezi mazuri.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa watu waishio kwenye familia yenye malezi mema, katika maisha yao. Watu hao, hufundishana juu ya kuishi kwa upendo wa kuwawezesha kufanya kazi kwa amani. Wao hupata mafanikio ya kupata mali nyingi na kuishi vizuri na wenzao, kwa sababu ya malezi mema wayapatayo kutoka kwenye familia hiyo, maishani mwao.

Watu hao, hufanana na wale warafiki wawili waliohimizana juu ya kuishi kwa tabia njema na watu, kwa sababu nao huishi kwenye malezi mema ya kuwa na upendo kwa watu, na kufanza kazi kwa bidii kubwa, katika maisha yao. Wao huwafundisha watu wao juu ya kuwa na tabia njema za kuishi na watu vizuri, maishani mwao. Ndiyo maana husema kwamba, “watu Buhimila tu ulimi na maongezi mazuri.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na urafiki wa kufundishana juu ya kuwa na tabia njema, ili waweze kuishi vizuri na kwa amani, maishani mwao.

Mithali 15:4.

Zaburi 34:13.

Marko 10:7-9.

Waefeso 5:25.

1 Yohana 4:20.

african-child-11

children-11

ENGLISH: MY FRIEND BUHIMILA, WE ARE SUPPOSED TO HAVE GOOD TONGUES AND GOOD TALKS.

This saying looks at the two people who were friends. One of them was called Buhimila. These people, understood each other in their conversations. They encouraged one another enough to live in a way that made it easier for them to get along with others. That is why one of them said, “My friend buhimila, we are supposed to have good tongues and good talks.”

This saying is compared to people who live well with their families. These people teach each other on how to put into practice their true love to another enough to enable them work peacefully. They find success in acquiring more wealth in living with their people because of the good upbringings which they receive from their families.

These people are like the two friends who encouraged each other enough to live a good life with people, because they also live in a good upbringing by loving their people, and working hard, in their lives. They teach their people on how to have good habits for living well with others in their societies. That is why they say that, “my friend buhimila, we are supposed to have good tongues and good talks.”

This saying teaches people on how to be friendly enough to teach each other on how to behave, so that they can live well and peacefully, in their lives.

Proverbs 15: 4

Psalm 34:13.

Mark 10: 7-9

Ephesians 5:25.

1 John 4:20.

madagascar-1

950. LYAHIB’AHIB’A.

Lyahib’ab’a bhuli bhutumami bho milimo ubho bhuli bho wangu wangu. Ubhutumami bhunubho, bhugamalaga nimo wangu kunguno ya gutumila nguzu nyinyi ijo jigasolaga ikanza iguhi duhu goshila unimo gunuyo. Hunagwene abhanhu abho bhali bhabhona bhagayombaga giki, “lyahib’ab’a.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyaga ku bhanhu abho bhagatumamaga milimo yabho bho bhukamu bhutale mpaga bhayimala chiza, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhagigulambijaga gutumama milimo yabho bho nduhu ugwigedyagedya, kunguno bhahayile bhapandike wangu ijo bhalijichola, umubhutumami bhobho. Abhoyi bhagaponaga majiliwa mingi noyi, kunguno ya bhukamu bhobho bhunubho ubho gwigulambija gutumama milimo mpaga bhayimala wangu chiniko, umuwijaji bhobho.

Abhanhu bhenabho, bhagabhalangaga abhanhu bhabho higulya ya gubhiza na bhukamu bho kutumama milimo yabho chiza kunguno ya bhutogwa bhobho ubho bhali nabho, ukubhanhu bhabho. Hunagwene bhagabhawilaga abhanhu bhenabho giki, “lyahib’ab’a.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kubhiza na bhukamu bho gwigulambija gutumama milimo yabho bho wangu wangu mpaga bhayimale, kugiki bhadule kupandika majiliwa mingi, umukaya jabho.

Waroma 12:11.

Wagalatia 6:9.

Mathayo 24:13.

Luka 9:61.

 

KISWAHILI: LA CHAPU CHAPU.

La chapu chapu ni utekelezaji wa kazi ambao ni wa haraka haraka. Utekelezaji huo, humaliza kazi haraka kwa sababu ya kuweka nguzu nyingi zinayotumika ambazo huiwezesha kazi hiyo, kuisha mapema. Ndiyo maana watu wanaowaona husema kwamba “la chapu chapu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa watu wale ambao huyatekeleza majukumu yao kwa bidii kubwa mpaga kuyamaliza, katika maisha yao. Watu hao, hujibidisha kufanya kazi bila kutegea kwa sababu wanataka wafanikiwe kupata chakula kingi. Wao hupata chakula kingi katika maisha yao kwa sababu ya bidii yao hiyo ya kujibidisha kufanya kazi kwa haraka mpaka kuzimaliza, maishani mwao.

Watu hao, huwafundisha pia watu wao juu ya kuwa na bidii ya kufanya kazi zao vizuri kwa sababu ya upendo walio nao kwao. Wao huwawezesha pia wenzao kupata mafanikio mengi katika utekelezaji wa kazi zao. Ndiyo maana huwaambia watu hao kwamba, “la chapu chapu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kujibidisha kufanya kazi zao kwa haraka mpaka kuzimaliza, ili waweze kupata mafaniko mengi, maishani mwao.

Waroma 12:11.

Wagalatia 6:9.

Mathayo 24:13.

Luka 9:61.

african-worker

ENGLISH: IT IS DONE HASTILY.

This saying refers to a quick doing a works. This implementation completes tasks in a very short time because of putting much efforts in them. That is why people who see them working say that, “it is done hastily.”

This saying is applied to people who perform their duties with great diligence from the beginning of a given work to the end of it, in their lives. These people work hard because they want to get a lot of food for feeding their family members. They, as a result, manage to get enough food in their lives because of their hard working lives.

These people also teach their people on how to be diligent in doing well their works because of the true love they have for them. They also enable their fellows to achieve greater successes in carrying out their tasks. That is why they tell them that, “it is done hastily.”

This saying imparts in people an idea on how to be diligent in doing their jobs fast until they finish them, so that they can find more successes in their societies.

Romans 12:11.

Galatians 6: 9.

Matthew 24:13.

Luke 9:61.

 

948. NG’WENDA GWA SHIGI.

Akahayile kenako, kalolile ng’wenda uyo gugishiganilagwa. Ung’wenda gunuyo, gwishiganilagwa na bhanhu bhabhili abho bhuli ng’wene ahayaga giki gubhize gokwe. Abhanhu bhenabho bhagaguyogela nose ung’wenda gunuyo kunguno bhuli ng’wene ong’ang’anilaga gubhize gokwe. Hunagwene abhanhu bhagagwinatana giki, “ng’wenda gwa shigi.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kubhakima bhabhili abho bhatolilwe mhali na ngosha umo. Abhakima bhenabho, bhagikalaga bhuli ng’wene ahayile giki ungosha wikale kuliweyi duhu gwa ishigu. Abhoyi bhagidumaga nose kunguno ya wilu bhunubho ubho bhuli ng’wene ahayele abhize kuli weyi ungosha ng’wunuyo shigu jose.

Ungosha ng’wunuyo, agikolaga nu ng’wenda uyo gwishiganilagwa na bhanhu bhabhili, kunguno nuweyi agishiganilagwa na bhakima abhabhili bhenabho abho bhuli ng’wene atogilwe wikale kuli weyi pye shigu. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “ng’wenda gwa shigi.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witoji bho nkima na ngosha umo duhu, kugiki bhadule gupandika mbango ja gujib’eja chiza ikaya jabho, umukawiji bhobho.

Waefeso 5:21-33.

Wagalatia 5:16-26.

Waefeso 5:1-6.

1 Wakorintho 7:1-16.

KISWAHILI: NGUO YA KUSHINDANIA.

Msemo huo, huangalia nguo inayoshindaniwa. Nguo hiyo, ilishindaniwa na watu wawili ambao kila mmoja alitaka iwe yake. Watu hao, walifikia hatua ya kuigombania nguo hiyo kwa sababu ya kila mmoja kuendelea kutaka iwe yake. Ndiyo maana watu waliita nguno hiyo kuwa ni “nguno ya kushindania.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa wanawake wawili wa mitala walioolewa na wanamume mmoja. Wanawake hao, huwa kila mmoja wao anataka yule mwanamume akae kwake siku zote. Wao hukosana kwa sababu ya wivu wa kila mmoja kutaka yule mme awe kwake tu.

Mwanamume huyo, hufanana na ile nguo iliyoshindaniwa na wale watu wawili, kwa sababu naye hushindaniwa na wale wanawake wawili ambao kila mmoja wao hutaka awe kwake siku zote. Ndiyo maana watu humuita kuwa ni “nguo ya kushindania.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na ndoa ya mke mmoja tu, ili waweze kupata Baraka za kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Waefeso 5:21-33.

Wagalatia 5:16-26.

Waefeso 5:1-6.

1 Wakorintho 7:1-16.

women-21

ENGLISH: A GARMENT FOR PEOPLE TO COMPETE FOR.

This saying looks at a garment which has two owners. This dress is contested by two men who each one want to own it. These men went so far as to fight for the garment because everyone continued to want it as his own. That is why people called the garment that “a garment of competition.”

This saying is applied to two polygamous women who are married to the same man. These women, every one of them wants the man to stay with her all the time. They quarrel because of each other’s jealousy of wanting the man to be her own.

This man is like the garment in which the two men competed, because he is also competed by the two women who each want to be with him always. That is why people call him “a garment of competition.”

This saying teaches people on how to have monogamous marriage, so that they can get the Blessings for living a peaceful life in their families.

Ephesians 5: 21-33.

Galatians 5: 16-26

Ephesians 5: 1-6.

1 Corinthians 7: 1-16.