952. B’UDAZUGILAGWA KAB’ILI.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile bhuzugi bho bhugali. Ubhugali bhunubho, jili jiliwa ijo jigazugwa bho gutumila nungu, nulu sufulila iyo igaditilagwa mingi gapembelwa mpaga gasib’uka na bhoditilwa ubhusu. Ubhoyi bhugazugagwa bho gutumila ndinho uyo gugagagulanyaga amingi nu bhusu bhunubho, mpaga wibhilinga na gubhiza bhudimu, ubho bhugitanagwa bhugali. Ulu bhupya ubhugali bhunubho, bhudashogelagwa hangi uguzugwa. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “b’udazugilagwa kab’ili.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kubhalimu abho bhagapandika jiliwa jigehu iji jigalimaga lukangala lumo bhuli ng’waka. Abhalimi bhenabho, ulu giki ng’waka gub’iza go nhela bhagayombaga giko, “b’udazugilagwa kab’ili”, kunguno bhadadulile ugugushosha numa ung’waka uyo gobhitaga gunuyo. Abhoyi bhagisagilwa gulima hangi ukung’waka uyo guliza, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Abhalimu bhenabho, b’agikolaga na bhazugi abho bhadadulile ugub’uzuka kabhili ubhugali ubho bhozugagwa, kunguno na bhoyi badadulile ugugushosha numa ung’waka uyo gobhitaga. Ugoyi ulu gubhita na gobhitaga duhu. Hunagwene abhanhu bhenabho ulu bhakela bhagayombaga giki, “bhudazugilagwa kab’ili.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kubhiza na wisagilwa bho gwikomeja gutumama milimo yabho, ulu bhagapandikaga jigehu, umubhutumami bhobho, kugiki bhadule kupandika sabho ningi, umuwikaji bhobho.

Mathayo 11:28-29.

1Wakorintho 10:13.

Zaburi 55:23.

KISWAHILI: HAUPIKIWI MARA MBILI.

Chanzo bha msemo huo, huangalia upikaji wa ugali. Ugali huo, ni chakula ambacho hupikwa kwa kutumia chungu au sufulia ambayo huwekewa maji yanayopata moto mpaga yakachemuka ndipo unga unatiwa ndani yake. Wenyewe hupikwa kwa kutumia mwiko ambao huyachanganya hayo maji na ule unga mpaga kinatokea kitu kigumu kinachoitwa ugali. Ugali huo, ukiiva huwa haurudiwi kupikwa tena. Ndiyo maana watu husema kwamba, “haupikiwi mara mbili.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa wakulima wale wanaopata chakula kidogo ambacho hulimwa mara moja tu kwa mwaka. Wakulima hao, wakishindwa kupata chakula chakutosha mwaka fulani, hujipa matumaini kwa kutumia msemo huo kwamba, “haupikiwi mara mbili,” kwa sababu hawawezi kuurudisha nyuma mwaka uliokwisha kupita. Wao hujipa matumaini ya kulima tena mwaka unaofuata, ili waweze kupata bahati ya kupata mavuno mengi, maishani mwao.

Wakulimwa hao, hufanana na wale walionshindwa kuupika mara ya pili ugali ulioiva tayari, kwa sababu nao hawawezi kuurudisha nyuma mwaka ule uliopita wakapata chakula kidogo. Ndiyo maana wao husema kwamba, “haupikiwi mara mbili.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na matumaini ya kujibidisha kufanya kazi pale wanapotapa mafanikio kidogo katika kazi zao, ili waweze kupata mali nyingi, maishani mwao.

Mathayo 11:28-29.

1Wakorintho 10:13.

Zaburi 55:23.

kitchen-1

african-girl-

 

ENGLISH: IT IS NEVER COOKED TWICE.

This overhead saying looks at the cooking of stiff porridge. This porridge is a food that is cooked in a pot or saucepan in which water is heated until it boils and the flour is put into it. They themselves are cooked using a cooking stick that mixes the water with the flour and then a hard figure is formed which is called hard porridge. When this porridge is ripe, is not cooked again. That is why people say that, “It is never cooked twice.”

This saying is compared to the farmers who get little food that is grown only once a year. These farmers, sometimes become unable to get enough food for a year. They give themselves hope by saying that, “it is not cooked twice,” because they cannot go back to the previous year. They give themselves hope of plowing again in the following year, so that they may have the good fortune enough to reap bountifully, in their lifetime.

These farmers are like cook who failed to cook the ripe porridge a second time, because they also cannot return back the past year enough to get another food. That is why they say that, “It is never cooked twice.”

This saying teaches people on how to be optimistic by carrying on to work hard when they find little success in their work, so that they can get more wealth, in their lives.

Matthew 11: 28-29.

1 Corinthians 10:13.

Psalm 55:23.

food--1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.