975. KALAGU – KIZE. UMAYU ALINA BHANA MAKUMI ATANDATU – SA.

Ikalagu yiniyo ilolile Sa. Isa yiniyo, igabhalaga dagika makumi atandatu huna likoma ilikanza ilya Sa imo, kunguno iSa ili na dakika makumi atandatu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “umayu alina bhana makumi atandatu – Sa.”

Ikalagu yiniyo igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalitumilaga chiza ilikanza lyakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agatumama milimo yakwe bho gudilila Sa, kunguno ajimanile isolobho ja gulitumila ilikanza lyakwe linilo bho gutumama milimo. Uweyi agaponaga majiliwa mingi kunguno ya gulitumamila chiza, ilikanza lyake linilo, bho gutumama milimo na guimala chiza, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni Sa iyo igatumilaga dakika makumi atandatu huna likomo ilisa ilimo, kunguno nuweyi agalitumilaga chiza ilikanza lyakwe linilo bho gutumama milimo yakwe, ukunhu alilola Sa, umukikalile kakwe. Hunagwene agayombaga giki, “umayu alina bhana makumi atandatu – Sa.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya kulitumila chiza ilikanza lyabho bho gulitumamila milimo yabho chiza, kugiki bhadule gupandika jiliwa ja jilanghanila chiza ikaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho.

Mathayo 25;1-13.

Mathayo 24:36-37.

Marko 13:32-36.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

MAMA ANA WATOTO SITINI – SAA.

Kitendawili hicho, huangalia Saa. Saa hiyo, husebu dakika sitini ndipo inatimia Saa moja, kwa sababu saa moja ina dakika hizo sitini. Ndiyo maana watu husema kwamba, “mama ana watoto sitini – Saa.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule anayeutumia vizuri muda wake, katika maisha yake. Mtu huyo, huyatekeleza majukumu yake kwa kuangalia saa, kwa sababu anazifahamu faida za kuutumia muda wake huo kwa kufanya kazi vizuri. Yeye hupata mazao mengi katika mashamba yake kwa sababu ya kuutumia muda wake huo kwa kuyatekeleza majukumu yake vizuri, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na Saa inavyohesabu mpaga dakika sitini ndipo inatimia, kwa sababu naye huyatekeleza majukumu yake kwa kutumia saa ili aweze kuutumia muda wake kwa kufanya kazi vizuri, katika maisha yake. Ndiyo maana husema kwamba, “mama ana watoto sitini – Saa.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuutumia muda wao kwa kuyatekeleza majukumu yao vizuri, ili waweze kupata mazao ya chakula cha kutosha kuzilisha vizuri familia zao, maishani mwao.

Mathayo 25;1-13.

Mathayo 24:36-37.

Marko 13:32-36.

 

wristwatch-

watch-

pocket-watch-

 

 

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.