974. KALAGU – KIZE. MUNHU AGIKALAGA MJIHINDA – LEDIYO.

Ikalagu yiniyo ilihoyela Lediyo. Ilediyo yiniyo, kalijisema ako kagayombaga mihayo na gwimba mimbo aliyo nduhu ugubhabhona abhanhu. Iyoyi igabhizaga giti alihoyi munhu uyo ali mjihinda. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “munhu agikalaga mjihinda – Lediyo.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo apandikaga mahano, ogatumamila bho nduhu ugumhona uyo aling’wila, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga bho gunzunya Mulungu uyo agang’wilaga mihayo mu nzila ya jiloti, kunguno ya guzunya gokwe gutale ukuli Nsumbi okwe Ng’wunuyo. Uweyi agapandikaga mbango ja gutumama milimo yakwe chiza iyo igang’wenhelaga matwajo mingi, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agapandikaga mihayo ya mlediyo bho nduhu ugumhona umunhu, kunguno nuweyi agahoyaga na Mulungu uyo adamhonaga, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “munhu agikalaga mjihinda – Lediyo.”

Ikagalu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya guzunya mahayo ga Mulungu, uyo bhadamhonaga, kugiki bhadule gupandika mbango ja gubhiza na matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Wabrania 11:1-7.

Mariko 6:5-7.

Luka 24:25.

Zaburi 66:2-10.

Luka 11:31-32.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

MTU HUWA SANDUKUNI – RADIO.

Kitendawili hicho, huongelea juu ya Radio. Radio hiyo ni chombo kinachoongea maneno na kuimba nyimbo bila kumuona mtu. Yenyewe huwa kama kuna mtu aliyeko ndani ya sanduku hilo. Ndiyo maana watu husema kwamba, “mtu huwa sandukuni-  Radio.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye kupata maono na kuyafanyia kazi bila kumuona anayemwambia, katika maisha yake. Mtu huyo, huishi kwa kumwamini Mungu ambaye humpatia ujumbe kwa njia ya ndoto, kwa sababu ya imani yake kuwa kubwa kwa Muumba wake huyo. Yeye hupata Baraka za kufanya kazi vizuri zinazompatia maendeleo mengi, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule apataye maneno kupitia Radio bila kumuona mtu anayeongea, kwa sababu naye huongea na Mungu ambaye hamuoni, katika maisha yake. Ndiyo maana husema kwamba, “mtu huwa sandukuni- Radio.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kumsaidi Mungu wasiyemuona, ili waweze kupata Baraka za kuwaletea mafanikio mengi, maishani mwao.

Wabrania 11:1-7.

Mariko 6:5-7.

Luka 24:25.

Zaburi 66:2-10.

Luka 11:31-32.

ghettoblaster-

radio-

tube-radio-

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

A PERSON WHO STAYS IN A BOX – A RADIO.

The above riddle talks about Radio. The radio is a device that speaks words and sings songs without seeing anyone. It is as if someone lives inside the box. That is why people say that, “a person who stays in a box – a radio.”

This riddle is compared to the person who gets the vision and acts on it without seeing the person who tells him in his life. Such person lives by believing in God who gives him messages through a dream, because of his great faith in his Creator. He receives Blessings of getting a good job that gives him a lot of progress in his life.

This person is like the one who receives words through the Radio without seeing the person who is speaking, because he also speaks to God Whom he does not see in his life. That is why they say that, “a person who stays in a box – a radio.”

This puzzle imparts in people a clue on how to believe in the invisible God, so that they can receive the blessings of bringing them great success in their lives.

Hebrews 11: 1-7.

Mark 6: 5-7.

Luke 24:25.

Psalm 66: 2-10.

Luke 11: 31-32.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.