973. KALAGU – KIZE. UGUKU ULUUNKUMYA UB’IZA SILI – IGONGOLI.

Ikalagu yiniyo ilihoyela ligongoli. Iligongoli linilo, lilijisumva ilo ulu ulikumya ligib’ilingaga ligonda mpaka lyab’iza giti Sili iyo igazwalagwa mulwala. Ilyoyi ligib’isaga bho gwib’ilinga chiniko. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “uguku uluunkumya ub’iza Sili – Igongoli.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo aling’wifuguji, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agifugulaga bho guleka nulu gulya jiliwa ulu ukenyiwa nunu na mhayo ndololo duhu, kunguno ya b’ulambu bho ng’holo yakwe indoo yiniyo. Uweyi agab’ayangajaga bho gubhapinihaja abhanhu kunguno ulu okumiwa hadoo duhu kale wifugulaga, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni ligongoli ilo ligakumiyagwa lib’ilinga, kunguno nuweyi agakenyiyagwa hadoo duhu wifugula, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “uguku uluunkumya ub’iza Sili – Igongoli.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gub’iza na ng’holo nhale ya kuleka wifuguji bho gwiyumilija na gulekeja ulu bhakenyiyagwa, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

1Wakorintho 10:13.

Wafilipi 4:12-13.

Zaburi 55:22.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

BABU UKIMGUSA ANAKUWA PETE – JONGOO.

Kitendawili hicho, huongelea juu ya Jongoo. Jongoo huyo, ni kiumbe ambaye ukumgusa hujivilingisha mpaka anakuwa kama pete ya kuvaa kwenye kidole. Yeye hujificha kwa kujivilingisha hivyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, “Babu ukimgusa anakuwa pete – Jongoo.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa anazila hata kwa jambo tu, katika maisha yake. Mtu huyo, huzila kwa kukataa hata kula chakula akikosewa hata kwenye jambo doo tu, kwa sababu ya kiburi cha roho yake hiyo ndogo. Yeye huwasumbua kwa huwazunishwa watu, kwa sababu ya kuzila kwake kila anakosewa hata kidogo tu, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na lile Jongoo linalojivilingisha kila linapoguswa, kwa sababu naye huzila kila anakosewa hata ikiwa ni kidogo tu, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “Babu ukimgusa anakuwa pete – Jongoo.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na moyo mkuu wa kuacha tabia ya kuzila, kwa kuvumilia na kusamehe pale wanapokoseana, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

1Wakorintho 10:13.

Wafilipi 4:12-13.

Zaburi 55:22.

giant-centipedes-

millipedes-

giant-tausendfuer

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

WHEN YOU TOUCH MY GRANDFATHER BECOMES A RING – MILLIPEDE.

This riddle talks about a millipede. The millipede is a creature that when you touch it, it rolls around until it becomes like a ring that one wears on a finger. It hides itself by putting its head inside enough to make sure that it is safe from enemies. That is why people say that, “when you touch my grandfather becomes a ring – millipede.”

This riddle is compared to the person who becomes easily offended by even small thing. He gets angry to the point of refusing even to eat in his life. This man refuses to eat even though he is offended by something which has no connection with food because of the pride of his little patience. He is tormented by the grief of the people, because of his fasting after being offended by every one even in minor things.

This person resembles to the millipede that rolls around becoming a ring every time when one touches it, because he also refuses eat every time when one offends him even in little things in his life. That is why people say to him, “when you touch my grandfather becomes a ring – millipede.”

This riddle teaches people on how to be courageous enough to persevere difficult in life by forgiving whey they offend one another, so that they can better raise their families in their lives.

1Corinthians 10:13.

Philippians 4: 12-13.

Psalm 55:22.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.