923. KALAGU – KIZE. NKULUKULU ONG’WIGUNGULI – MATU.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola matu. Amatu geneyo gagabhizaga makulukulu umu bhuli chalo jene kunguno agoyi gagigwaga bhuli mhayo, nulu gugafumila kule na ginehe. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, “nkulukulu ong’wigunguli  –  matu.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agigwaga mhayo wandra gugusombola kubhiye bho nduhu ugugwideta chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunyo, agitulaga bhumani bho bhuli mhayo uyo aligwigwa bho gwandra gugutangaja kubhiye, kunguno ya kukija gwitegeleja chiza gokwe gunuyo. Uweyi agipondaga soni noyi ulu okanilijiwa na bhiye abho bhayimanile chiza imihayo iyo agayiyombaga yiniyo, umuwikaji bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na matu ayo gagigwaga mihayo mingi bho nduhu uguitegeleja, kunguno nuweyi agatangajaga mihayo bho nduhu uguitegeleja chiza, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nkulukulu ong’wigunguli  –  matu.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho mihayo iyo bhagayigwaga haho bhatali ugubhasombolela abhichabho, kugiki bhadule gwikala chiza na bhanhu bhabho, umukaya jabho.

Mwanzo 3:1-7.

2Timotheo 2:16-18.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI  –  TEGA.

MWENYEJI WA KIJIJINI  –  MASIKIO.

Chanzo cha kitendawili hicho chaangalia masikio. Masikio huwa na wenyeji wa kwenye kila kijiji kwa sababu yenyewe husikia kila neno hata litokea mbali namna gani. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “mwenyeji wa kijijini – masikio.”

Kitendawili hicho hulinganiswa kwa mtu yule ambaye husikia neno na kuanza kulitangaza kwa wengine bila ya kulitafakali kwa makini kwanza, katika maisha yake. Mtu huyo, hujitia kujua kila jambo analoambiwa na kuanza kulitangaza kwa wenzake, kwa sababu ya kuacha kwake kulitafakari kwa makini. Yeye hujisikia aibu anapoambiwa ukweli na wale wanaoyafahamu vizuri, maneno hayo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na masikio yaliyosikia maneno mengi bila kuyatafakari kwa makini, kwa sababu naye hutangaza maneno posipo kuyatafakari vizuri kwanza. Ndiyo maana watu humwambia kwamba yeye ni, “mwenyeji wa kijijini – masikio.”

Kitendawili hicho hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuyatafakari kwanza maneno wanayoyasikia, kabla ya kuanza kuyatangaza kwa wenzao, ili waweze kuishi vizuri na watu wao katika familia zao.

Mwanzo 3:1-7.

2Timotheo 2:16-18.

man---1

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

FAMILIAR OF VILLAGES – EARS.

The foundation of the above riddle looks at the ears. The ears are natives to every village because they can hear any word no matter how far away it sounds. That is why people say to one another that, “familiar of villages – ears.”

This puzzle is compared to the person who hears a word and begins to spread it to others without first paying attention to it, in life. Such person, in turn, pretends to know everything which he/she is told and begins to announce it to others, because of his/her failure to think it through before spreading it. He/she feels ashamed when he/she is told the truth by those who know those words, in life.

This person is like the ears that can hear many words without thinking about them, because he/she also utters words without thinking about them first. That is why people say that he/she is “familiar of villages – ears.”

This riddle imparts in people an idea of being careful by thinking first about the words they hear, before they start spreading them to others, so that they can live well with their people in their families.

Genesis 3: 1-7.

2 Timothy 2: 16-18.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.