848. NDA IDI NA NZUNAYE.

Inda ya ng’wa munhu ili imo duhu iyo igabokelaga ijiliwa ijo agajilyaga umunhu ng’wunuyo. Iyoyi igabhizaga idina ng’wichayo, kunguno ili ing’wene duhu, umukikalile kayo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “nda idi na nzunaye.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga wimanile weyi ng’winikili duhu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhizaga atogilwe gwinhiwa jikono na bhiye, aliyo lulu uweyi adabhagunanaga abhanhu abho bhali na makoye, nulu agabhiza ali na jikolo ja gudula gubhambilija, kunguno ya bhulaku na wiming’holo bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agadumaga nulu ugwikala na bhanhu bhingi aha kaya yakwe, kunguno ya gogohaya kumajiwa jiliwa jakwe, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nda iyo igimanaga yoyi duhu, kunguno nuweyi agiinikaga weyi duhu, bho nduhu ugubhambilija abhiye, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nda idi na nzunaye.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gutumama milimo yabho bho bhukamu bhutale kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhambilija gubhiza bhizang’holo bha gubhalisha abho bhali na nzala, umuwikaji bhobho.

2Timotheo 2:11.

Ufunuo 14:13.

1Wakorintho 9:25.

Wafilipi 2:8-9.

KISWAHILI: TUMBO HALINA MDOGO WAKE.

Tumbo la mtu ni moja tu ambalo hupokea chakula anachokila mtu huyo. Lenyewe huwa halina mwenzake kwa sababu liko peke yake muda wote. Ndiyo maana watu husema kwamba, “tumbo halina mdogo wake.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujijali yeye mwenyewe tu, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anapenda kupewa vitu na wenzake, lakini yeye huwa hawasaidii watu walioko kwenye matatizo, hata kama ana vitu vya kumwezesha kufanya hivyo, kwa sababu ya ulafi na uchoyo wake huo, maishani mwake. Yeye hushindwa hata kuishi wa watu wengi kwenye familia yake, kwa sababu ya kuogopa kummalizia chakula chake, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na tumbo lile ambalo hujijali lenyewe tu, kwa sababu naye hujifikiria yeye mwenyewe tu, kwa kutowasaidia wenzake mali zake, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “tumbo halina mdogo wake.”

Methail hiyo, hufundisha watu juu ya kuyatekeleza majukumu yao kwa bidii kubwa ili waweze kupata mali za kuwakarimu wenzao walio na njaa, maishani mwao.

2Timotheo 2:11.

Ufunuo 14:13.

1Wakorintho 9:25.

Wafilipi 2:8-9.

hunger-

african-child-1

food-1-

 ENGLISH: THE STOMACH HAS NO YOUNG RELATIVE.

A person’s stomach is the only one that receives the food that such person eats. It has no partner because it is alone all the time. There is no one who can eat for someone else. That is why people say that, “the stomach has no young relative.”

This proverb is compared to a man who cares only for himself in his life. He is the person who likes to be given things by others, but he does not help the people who suffer from various problems even if he has things for doing so. He does so because of his greed in his life. He fails even to live with other people in his family because of such greed.

This person is like the stomach that cares only for itself, because he is also a self-centered one who does not help others in his life. That is why people tell him that, “the stomach has no young relative.”

This proverb imparts in people an idea on how to carry out their responsibilities with great diligence so that they can acquire plenty wealth for generously helping the starving people in their lifetime.

2 Timothy 2:11.

Revelation 14:13.

1 Corinthians 9:25.

One comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.