847. KABULA GUDEMA.

Akahayile kenako, kalolile bhulumbazu bho malunde ga mbula. Imbula ulu yuhaya gutula igabhejaga malunde ayo gagalumbelaga na yandya ugutula. Ubhulumbazu bho malunde genayo hubho bhugitanagwa “kabula gudema.” Hunagwene abhanhu ulu bhubhona malunde galumbalaga bhagamanaga giki imbula yahaya gutula bhaja kaya kunguno ya “kabula gudema.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhonaga mbeng’ho ja jidiku wandya gulima migunda yakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga alidebhile ilikanza lya gwandya ugulima, kunguno ya gujibhona imbeng’ho jinijo ija gwandya go likanza lya mbula. Uweyi agalimaga migunda mitale iyo igampandikilaga majiliwa mingi, ayo gagadulaga uguyilisha chiza ikaya yakwe, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agabhalangaga abhanhu bhakwe ahigulya ya gulidebha ilikanza lya mbula na gulima migunda mitale iyo idulile gubhapandikila majiliwa mingi umukaya jabho. Hunagwene agabhawilaga abhanhu bhenabho giki, bhandye gulima ahikanza lya “kabula gudema.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gulidebha ilikanza lya guitumama imilimo yabho na gulitumila chiza, umukikalile kabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Kutoka 24:15-18.

Luka 12:54-55.

Mhubiri 11:3a.

KISWAHILI: MVUA KUTANDA.

Msemo huo, huangalia giza la mawingu ya mvua. Mvua ikitaka kunyesha huwa inatengeneza mawingu ambayo huleta giza fulani ndipo inaanza kunyesha.  Giza hilo la mawingu ndilo linaloitwa “mvua kutanda.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule mbaye huona dalili za kuanza kwa masika, na kuanza kulima mashamba yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anazielewa vizuri dalili za kuanza kwa kipindi hicho cha kulima, kwa sababu ya uchaga kazi wake. Yeye huwa analima mashamba makuwa ambayo humpatia mazao mengi ya kutoka kuilisha vizuri familia yake, katika maisha yake.

Mtu huyo, huwa anawafundisha pia watu wake namna ya kuyaelewa vizuri majira hayo ya mvua na kuanza kulima mashamba makubwa, ili waweze kupata mazao mengi kwenye familia zao. Ndiyo maana, huwa anawaambia waanze kulima wakati wa “mvua kutanda.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuyaelewa vizuri majira ya kuanza kuyatekeleza majukumu yao na kuutumia vizuri muda huo, katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Kutoka 24:15-18.

Luka 12:54-55.

Mhubiri 11:3a.

umbrella-

rain-1

woman--1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.