844. TULO JA MABAMUKILE.

Akahayile kenako, kalolile bhubamuki bho tulo ja ng’wa munhu nhebhe. Umunhu ng’wunuyo, agagayiyagwa itulo kunguno ya gumana wiganika guti giki okelejaga ugumisha aje uko alipuna. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki ali na “tulo ja mabamukile.”

Akahayile kenako kagalenganijiyaga kuli munhu uyo agikalaga nzugulumatu umu bhutumami bho milimo yakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, aganguhaya dilu ugujutumama imilimo yakwe yiniyo, kunguno ya gwikala alinzugulumatu pye amakanza. Uweyi agaponaga noyi ijiliwa jakwe ulu olima, kunguno ya bhukamu bhokwe ubho gwanguha guja kumilimo na gujuyitumama chiza, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo alina tulo jagubamuka ulu alina lugendo, kunguno nu weyi agikalaga nzugulumatu umu bhutumami bho milimo yakwe, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalangaga abhanhu bhakwe inzila ja gwikala bhali nzugulumatu umu bhutumami bho milimo yabho, kugiki bhadule gupona jiliwa umu migunda yabho. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki bhikale na “tulo ja mabamukile.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza bhali nzugulumatu bho gwanguha uguja ukumilimo yabho na gujuitumama bho bhukamu bhutale, kugiki bhadule gupandika sabho ningi, umuwikaji bhobho.

1Petro 5:8-9.

KISWAHILI: USINGIZI WA MANG’ANG’AMU.

Msemo huo, huangalia usingizi wa kushituka na kuamka usiku alio nao mtu fulani. Mtu huyo, huwa ana usingizi kushituka hivyo kwa sababu ya kufikiri mara kwa mara kama kwamba amechelewa kuamka aende kule alikopanda kujilawa. Ndiyo maana watu husema kwamba ana “usingizi wa mang’ang’wamu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huishi akiwa na utayari wa kuyatekeleza vizuri majukumu yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anawahi sana kwenda kazini kwake kwa sababu ya utayari wake wa kufanya kazi vizuri, na kwa muda mrefu. Yeye huwa anapata mazao mengi sana katika mashamba aliyolima, kwa sababu ya bidii yake ya kuwahi kwenda kazini na kuyatekeleza vizuri majukumu yake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekuwa na usingizi wa kushutuka kwa kuamka usiku, katika maisha yake, kwa sababu naye, ana utayari wa kuyatelekeza vizuri majukumu yake, katika maisha yake. Yeye huwafundisha wenzake namna ya kuwa na utayari huo wa kufanya kazi, ili waweze kupata chakula kingi, katika utekelezaji wa majukumu yao. Ndiyo maana huwa anaambia watu kwamba, wawe na “usingizi wa mang’amung’amu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na utayari wa kuwahi kazini kwao, na kwenda kuyatelekeza kwa bidii kubwa majukumu yao, ili waweze kupata mali nyingi, maishani mwao.

1Petro 5:8-9.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.