843. ONIFUMAGA UMU MISO.

Akahayile kenako, kalolile bhudumi bho gundebha munhu ubho gunhola bho miso. Umunhu ulu utung’wana na ng’wiye uyo adumanaga aliyo uweyi andebhile, agayombaga giki, “onifumaga umu miso.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adatumamaga imilimo iyo adayidulile, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhalekelaga bhiye uguitumama imilimo iyo ikilanijije, ubhudula bhokwe, kunguno ya widohya bhokwe, umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandika matwajo mingi umubhutumami bhokwe bhunubho, kunguno ya guidilila chiza imilimo iyo ayidulile, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agaduma ugunmana ung’wuye umu miso gakwe, kunguno nuweyi adaitumamaga imilimo iyo adaimanile, umukikalile kakwe. Hunagwene agayombaga giki, “onifumaga umu miso.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na widohya bho guyitumama imilimo iyo bhayidebhile na gubhalekela bhangi abho bhayidebhile, iyo bhadayimanile abhoyi, umukikalile kabho, kigiki bhadule gupandika sabho ningi ja gujibheja chiza ikaya jabho.

Marko 10: 17-21.

KISWAHILI: UMENITOKA MACHONI.

Msemo huo, huangalia ushindwaji wa kumfahamu mtu kwa kumwangalia kwa macho. Mtu akikutana na mwenzake ambaye hushindwa kumfahamu ambaye yeye anamfahamu, humwambia kwamba, “umenitoka machoni.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hazitekeleza kazi zile ambazo hazifahamu, katika maisha yake. Mtu huyo, huwaachia wenzake wanaozifahamu zile kazi asizozifahamu ili wao wazifanye, katika maisha yake, kwa sababu ya unyenyekuvu wake. Yeye hupata mafanikio mengi katika utekelezaji wa majukumu yake, kwa sababu ya kuzitumia nguvu zake kwenye kazi anazozielewa vizuri, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeshindwa kumfahamu kwa macho yake yule waliyekutana naye, kwa sababu naye huwa hayatekelezi majukumu yale ambayo hayafahamu, katika maisha yake. Ndiyo maana husema kwamba, “umenitoka machoni.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na unyenyekevu wa kuyatekeleza majukumu yale ambayo wanayafahamu, na kuwaachia wenzao wanaoyahafahamu yale wasiyoyafahamu wao, katika maisha yao, ili waweze kupata mali nyingi za kutosha kuziendeleza vizuri familia zao.

Marko 10: 17-21.

eyes thinking

girl--

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.