842. GULUTA LISO.

Akahayile kenako, kalolile bhuluti bho liso bho gulola mpaga kule. Umunhu ulu ujilola ginhu ijo jilikule mumho olitaga liso. Umunhu ng’wunuyo, agajibhonaga iginhu ginijo bho kule mpaga ojidebha chiza. Hunagwene agikalaga atogilwe ugujimana ijikolo bho, “guluta liso.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agaidetaga chiza tamu imilimo yakwe, na oyitumama, umukikalile kakwe. Umunhu ng’winuyo, agitaga bhukengeji bho milimo yakwe yiniyo, haho atali uguyandya uguyitumama, kunguno ahayile aidebhe chiza. Uweyi agapandikaga sabho ningi umu milimo yakwe, kunguno ya gwita bhukengeji bhunubho ubho bhugang’winhaga wasa bho guitumama chiza milimo iyo ayidebhile chiza, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agaluta liso lyakwe mpaga ujibhona ginhu ijo jili kule, kunguno nuweyi agayidetaga tamu imilimo yakwe, na oyitumama, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalangaga na bhiye inzila ja guideta chiza imilimo yabho, haho bhatali uguitumama, kugiki bhadule  gupandika sabho ningi, umu bhutumami bho milimo yabho. Hunagwene agabhawilaga abhanhu bhayidete tamu imilimo yabho bho, “guluta liso.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guyideta chiza tamu imilimo yabho bho guyitilila bhukengeji haho bhatali uguitumama, kugiki bhadule gupandika sabho ningi umu bhutumami bho milimo yabho yiniyo.

Mathayo 5:25-29.

Yohana 8:1-11.

Matendo ya mitume 5:34-39.

KISWAHILI: KUTUPA JICHO.

Msemo huo, huangalia utupaji bho jicho kwa kuangalia kitu kwa mbali. Mtu akikiangalia kitu kwa mbali hivyo, ndiyo kusema kwamba, ametupa jicho. Mtu huyo, hukiona kwa mbali kitu hicho na kukielewa. Ndiyo maana huwa anapenda kufahamu vitu kwa “kutupa jicho.” 

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa anaifikiria kwanza kazi anayotaka kuifanya, ndipo anayitekeleza, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya utafiti wa kazi zake kabla ya kuanza kuzitekeleza, kwa sababu anataka kuzielewa vizuri. Yeye hufanikiwa kupata mali nyingi kwenye kazi zake hizo, kwa sababu ya kuzifanyia utafiti huo ambao humpa nafasi ya kuyatekeleza vizuri majukumu anayoyaelewa, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule ambaye alitupa jicho lake akaviona vitu vile vilivyokua mbali, kwa sababu naye huzifanyia utafiti kazi zake kwanza ndipo anazitekeleza, katika maisha yake. Yeye huwafundisha wenzake njia za kuzifikiria vizuri kazi zao, kabla hawajazitekeleza, ili waweze kupata mali nyingi, katika utekelezaji wa majukumu yao. Ndiyo maana huwa anawaambia watu wazifanyie utafiti kazi zao kwa “kutupa jicho.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzifanyia utafiti vizuri kazi kabla ya kuzitekeleza, ili waweze kupata mafanikio mengi, katika utekelezaji wa majukumu wao.

Mathayo 5:25-29.

Yohana 8:1-11.

Matendo ya mitume 5:34-39.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.