841. YISE BHA MAKOYE.

Olihoyi munhu uyo ozwanjiwagwa na makoye aha kaya yakwe. Amakoye genayo, galigadashilaga aha ng’wakwe henaho, kunguno ulu olimala ilimo ligela lingi. Umunhu ng’wunuyo, kihamo ni kaya yakwe, nose bhagagwa ng’holo, umukikalile kabho, kunguno ya gwikala mumakoye bho makanza malihu. Hunagwene bhagayombaga giki, “yise bha makoye.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali bhahabhi, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhagabhizaga na jiliwa jigehu noyi aha kaya yabho, kunguno ya kupandika jiliwa jigehu jinijo umubhutumami bho milimo yabho. Abhoyi bhagalyaga jiliwa ja gumana bhilombejeja mumakaya ga bhangi, umuwikaji bhobho.

Abhanhu bhenabho, bhagikolaga nuyo wikalaga agukoyiyagwa na makoye abha kaya yakwe, kunguno na bhoyi bhagakoyiyagwa na makoye ga gugayiwa jiliwa, umukikalile kabho. Hunagwene bhagayombaga giki, “yise bha makoye.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho bho nguzu, umukikalile kabho, kugiki bhadule gupandika matwajo ga gubhingija makoye ga nzala, umu kaya jabho.

Mathayo 14:34-36.

Mathayo 5:3-9.

KISWAHILI: SISI WA MATATIZO.

Alikuwepo mtu ambaye alikuwa akisumbuliwa na matatizo kwenye familia yake. Matatizo hayo, yalikuwa hayaishi kwenye familia hiyo, kwa sababu yalikuwa yakifuatana moja baada ya jingine. Mtu huyo, pamoja na familia yake, mwishowe walifikia hali ya kukata tamaa, katika maisha yao, kwa sababu ya kusumbuliwa na matatizo hayo, kwa muda mrefu. Ndiyo maana huwa wanasema kwamba, “sisi wa matatizo.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa watu wale ambao ni maskini, katika maisha yao. Watu hao, huwa wana chakula kidogo kwa sababu ya kupata hicho kidogo kwenye kazi zao. Wao huwa wanakula chakula cha kuombaomba kwenye familia za wenzao, maishani mwao.

Watu hao, hufanana na yule aliyeishi kwa kusumbuliwa na matatizo kwenye familia yake, kwa sababu nao huwa wanasumbuliwa na matatizo hayo ya kukosa chakula, katika maisha yao. Ndiyo maana huwa wanasema kwamba, “sisi wa matattizo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zao kwa nguvu, katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio ya kuwaondolea tatizo la njaa, kwenye familia zao.

Mathayo 14:34-36.

Mathayo 5:3-9.

people--

homeless-

old-

ENGLISH: WE ARE OF PROBLEMS (Problems are part of human nature).

There was a man who was suffering from various problems in his family. These problems existed in his family one after the other. He along with his family eventually came to a state of despair in life, because of suffering from those problems for a long time. That is why they said, “We are of problems (problems are part of human nature).”

This saying is compared to people who are poor in their lives. These people tend to have less food because they get less of it at work. They often eat food which they beg from other families in their daily lives.

These people are like the man who lived with various problems in his family, because they also suffer from these problems of malnutrition in their families. That is why they often say, “we are of problems (problems are part of human nature).”

This saying instills in people an idea on how to work hard in their daily lives, so that they can be successful in eliminating hunger from their families.

Matthew 14: 34-36.

Matthew 5: 3-9.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.